Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

from messages of my phone " mida mida tu kuna mdada hapa jirani kafa kanywa sumu, kafunga harusi mwaka Jana mwezi wa saba na ameacha mtoto mdogo sana, haya yote yanasabishwa mapenzi." taarifa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwanza nianze kwa kuweka wazi kuwa wote wana ladha na wote nawapenda. 1.HUYU NI MZURI WA SURA:huyu wa ni mzuri wa sura yaani kwa kumtazama tu yuko soft,mtoto dimpoz akitabasamu tu lazima...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Binafsi nimekuwa nikikereka sana kuona baadhi ya wanawake kwa wasichana kuona pesa za wapenzi wao kama uchafu na zisizo na thamani huku za kwao wakijua kuzitumia kwa kubana na wanakuwa wagumu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
NI HIVI, nimejiuliza sana hili swali baada ya kutafakari siku kadhaa nikishuhudia mama mmoja aliye kwenye ndoa yake na mume wake ni mpole kweli kwa kadri ninavyomfahamu, lakini huwezi amini...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
  • Closed
Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si...
8 Reactions
294 Replies
27K Views
[/SIZE]
5 Reactions
67 Replies
6K Views
Wanawake wanapotetea haki yao wanakua na umoja sana,lakini linapokuja suala la haki/maendeleo ya mwanamke mmoja wanakua wanapingana na kupigana majungu na fitina, mfano cheo kazini,uzuri,kipato na...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Unakuta mbaba mzee wa familia au kijana anamwacha mke wake apambane na madalada, anamwachia mke wake agombanie kupata siti kwenye matatu, anamwachia mke wake apande bodaboda ilhali yeye yupo na...
13 Reactions
62 Replies
6K Views
Kwenye rasimu ya katiba wamepitisha kipengere cha 50/50 kwa wanawake na wanaume. Nawashauri wanawake muikatae hii ni msiba mkubwa sana kwenu, kwanza inatofautiana na mpango wa Mungu kwa mwanamke...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani (Bungeni), Freeman Mbowe, wiki iliyopita alipamba vilivyo mitandao ya kijamii, haikuwa kwa sababu ya tishio la maandamano kuhusu Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wala...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hili ni tukio la tatu kuwahi kulishuhudia. Ni kisa kilichompata binti mmoja wa dar, ambaye anapenda kuonekana wa kisasa kwa kuurambia nguo zinazobana na kuacha manyonyo yakionekana. Kijana...
6 Reactions
93 Replies
10K Views
Ni kama uongo kwenye mapenzi ni sehemu ya mapenzi. Ni kama usaliti ni sehemu ya mapenzi pia. Wengi wamesaliti ama kusalitiwa. Je umewahi kujutia kosa ama usaliti kwa mpenzi wako? Je umewahi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jana na Leo katika taarifa ya habari ya ITV imemuonyesha mama mmoja mwenye watoto sita wadogo, wakiwa ni mapacha kwa uzao wa mara tatu yaani kila alipojifungua alikuwa akizaa watoto wawili...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
1. Living in the same room with a man who has not paid your bride-price or wedded you; this is foolishness of you. 2. Accepting to be a second wife. You are a living dead, you have a better...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimechezewa kiakili na feelings za mapenzi. Miezi mitatu iliyopita nilitongoza id moja maarufu ya kike humu MMU na CHITCHAT,kila mtu akaonyesha interests zake kwa mwenzake,sifa alizonitajia...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Katika hali isiyo ya kawaida katika chuo nnachosoma katika moja ya nchi zenye hewa safi profesa mmoja amemchinja mhadhiri mwandamizi kama kuku. Ilıvyokuwa: katika kitivo hicho kama miezi saba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nihaooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! (From China with love) Well nimestaafu kuanzisha thread na nini ila hili jambo lilikuwa muhimu kuanzishiwa uzi! Matukio ya wanaume wengi...
6 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari zenu Ndugu zangu? Kwanza nafuraha kuwa mahala hapa, Mimi ni Mvulana wa miaka 29, nimeamua kutafuta mwenza wakuishi naye, ili nianze maisha mapya kabisa ya uraiani baada kutoka jela tarehe...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuangalie nini maana ya mapenzi Mapenzi ni upendo wa dhati utokao moyoni mwa mtu wala si kuvuliwa nguo na mtu . Sijui kama nimeeleweka hapo nina maana gani Ngono si upendo bali upendo wa kweli...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu? Kuna dada nilimtongoza muda mrefu karibia miaka mitatu sasa lakini mpaka sasa sijaona kitu. Tokea mwanzo alikubaliana na ombi langu, ila utekelezaji wake umekuwa mgumu. Kuna...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…