Je! haramu ni tamu kuliko halali? Maana mapenzi ya mchepuko ni habari ya ulimwengu wa wanandoa

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
NI HIVI, nimejiuliza sana hili swali baada ya kutafakari siku kadhaa nikishuhudia mama mmoja aliye kwenye ndoa yake na mume wake ni mpole kweli kwa kadri ninavyomfahamu, lakini huwezi amini huyohuyo mke anawasiliana na jamaa mmoja anaeonekana yuko abroad. si mnajua tena mambo ya skype, nilibaini pale nilipoletewa ili niwezeshe hii programu ifanye kazi na baada ya hapo maongezi yakaendelea ila nikashangaa kweli kuona huyo mama anapata furaha isiyo ya kawaida. niliweza kumuona mara kadhaa akifanya hivyo na akiniiona anacheka maana namtania kidogo nikimkuta yupo bussy anafurahi kungea maana kiasi nimeshamzoea.

sasa haya mapenzi ya kuchepuka ni matamu sana ama inakuwaje, yaani sielewi kabisa.

mtu mpaka anaamua kuolewa ama kuoa inafika kipindi furaha yake na fahari yake inakuwa mchepuko kuliko mke wake ama mume wake. why this?

ama ndio wasemavyo waswahili, ukishakula nyama ya mtu huachi.

kwa kuwa haramu ni tamu kuliko halali.

LAKINI PIA ILI KUCHEPUKA NA MUME AMA MKE WA MTU INAHITAJI UJASIRI WA JUU SANA NA WA KIPEKEE MAANA WAWEZA KUPOTEZA MAISHA.

hawa team-mchepuko mpaka wanakubali/wanaamua kuchepuka na mwandoa(mke/mume wa mtu ama wote wanandoa) inahitaji ujasiri usio wa kawaida lakini bado hii team imekuwa na wateja wa kutosha mpaka nashangazwa na ujasiri huu uliovuka kipimo cha kawaida.

HATARI SANA.
 
kwa taarifa yako ni kwamba umeshiriki kufanikisha uzinzi
Ole wako mtu wa Mungu kwa kuitenda dhambi hii
 
Chakuchepuka ni sawa na ile mnapokuwa wachumba...Huwa wakati woote mkikutana unaonana mnanoga sababu hupati mara kwa mara....Sasa ya ndoa unapata kila siku, ulikuwa unamuona mpya hadi mnaonana kama kaka na dada...Kila style yake unaijua, mwili woote wake unaujua hata ukiamshwa usingizini.

Huyo huyo wa mchepuko hebu mchukue umuweke ndani kila siku uwe nae kama wa ndoa uone utakavyomchoka

kwahiyo bora kuendelea kuchepuka...
 
NI HIVI, nimejiuliza sana
hili swali baada ya kutafakari siku kadhaa nikishuhudia mama mmoja aliye
kwenye ndoa yake na mume wake ni mpole kweli kwa kadri ninavyomfahamu,
lakini huwezi amini huyohuyo mke anawasiliana na jamaa mmoja anaeonekana
yuko abroad. si mnajua tena mambo ya skype, nilibaini pale nilipoletewa
ili niwezeshe hii programu ifanye kazi na baada ya hapo maongezi
yakaendelea ila nikashangaa kweli kuona huyo mama anapata furaha isiyo
ya kawaida. niliweza kumuona mara kadhaa akifanya hivyo na akiniiona
anacheka maana namtania kidogo nikimkuta yupo bussy anafurahi kungea
maana kiasi nimeshamzoea.

sasa haya mapenzi ya kuchepuka ni matamu sana ama inakuwaje, yaani
sielewi kabisa.

mtu mpaka anaamua kuolewa ama kuoa inafika kipindi furaha yake na fahari
yake inakuwa mchepuko kuliko mke wake ama mume wake. why this?

ama ndio wasemavyo waswahili, ukishakula nyama ya mtu huachi.

kwa kuwa haramu ni tamu kuliko halali.

LAKINI PIA ILI KUCHEPUKA NA MUME AMA MKE WA MTU INAHITAJI UJASIRI WA JUU
SANA NA WA KIPEKEE MAANA WAWEZA KUPOTEZA MAISHA.

hawa team-mchepuko mpaka wanakubali/wanaamua kuchepuka na
mwandoa(mke/mume wa mtu ama wote wanandoa) inahitaji ujasiri usio wa
kawaida lakini bado hii team imekuwa na wateja wa kutosha mpaka
nashangazwa na ujasiri huu uliovuka kipimo cha kawaida.

HATARI SANA.

huyo mama kama yuko kwenye ndoa namshangaa kwa nn aliolewa? ila asingekuwa kwenye ndoa dah kuna michepuko misweet tho kuipata sheeda
 
No. mchepuko waweza rudi na tope... jicontrol...suala ni kubadili tuu mazingira...tatizo waafrica utakuta kitanda ulicholalia ndicho kile kile hadi unazeeka, position ya kitanda ndio ile ile, chumba rangi ndio ile ile...kila kitu ni kile kile hata hakileti test.....Na pia si lazima kukutana home...hebu tokeni siku hata nje ya nyumbani....

Hii ni kujidanganya tu. Haibadilishi kitu. Mvinyoni ule ule kwenye chupa mpya.
 
Mimi nina mchepuko. Mchepuko wangu pia ameolewa so na yeye anachepuka. Anachepuka kwa sababu mume wake naye anachepuka.

Mume wake naye anachepuka na mke wa mtu na huyo mke wa mtu naye anachepuka kwa sababu mume wake anachepuka. Mchepuko wangu ulinasa meseji za mapenzi za mchepuko wa mume wake. Baada ya kumpigia simu huyo dada akakiri ni kweli na akaomba mchepuko wangu amsamehe kwani ni kwa sababu na yeye mume wake alikuwa anachepuka ndo akajikuta na yeye shetani amemuingia na kuanza kuchepuka na mume wa mchepuko wako. Mimi na mchepuko wangu hatutumii condom na mme wake na huo mchepuko wake hawatumii condom.

Mke wangu naye nilibamba meseji ana chati na mtu, nilikuta meseji mbili tu ambazo alikuwa amesahau ku delete. Alikuwa anauliza tukutane wapi? Ikajibiwa. Pa siku zote, kwani tunalala au tuna sepa.
 
ningeshangaa sana kama na nke wako hachepuki.

hii ni sumu zaidi ya ile itumikayo kuua panya.

weka mbali na watoto.
 
Watu wakioana wanajua wamemaliza kila kitu, mapenzi ujuzi, ubunifu na ufundi msibweteke humo ndani.
 
..wakibweteka si kuna replacements!!!
Kuna Me na Ke kazi yao kusubiri mambo yaende ovyo ili nao wapate.
 
Code:
Watu wakioana wanajua  wamemaliza kila kitu,
te te te te te te te te te te te te te te te te
Code:
mapenzi ujuzi
naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,
Code:
ubunifu na ufundi msibweteke humo ndani
.
wamesikiaaaaaaaaaaaaaaaa
 
luckyline[QUOTE/]
huyo mama kama yuko kwenye ndoa namshangaa kwa nn aliolewa?
labda alitaka kuonekana na yeye ni mke wa mtu, ama alikuwa hajaonana na huyu anayechepuka naye
ila asingekuwa kwenye ndoa dah kuna michepuko misweet tho kuipata sheeda
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ,wewe umekusanya wapi hizi data? ama umekwiba tayari mwanandoa?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom