steveson manumbu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 887
- 178
Binafsi nimekuwa nikikereka sana kuona baadhi ya wanawake kwa wasichana kuona pesa za wapenzi wao kama uchafu na zisizo na thamani huku za kwao wakijua kuzitumia kwa kubana na wanakuwa wagumu kutoa.
hivyo ni rai yangu nawaomba mtoe elimu kwa jinsia hiyo ya KE.
hivyo ni rai yangu nawaomba mtoe elimu kwa jinsia hiyo ya KE.