Majuto ya usaliti

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
Ni kama uongo kwenye mapenzi ni sehemu ya mapenzi.

Ni kama usaliti ni sehemu ya mapenzi pia.

Wengi wamesaliti ama kusalitiwa.

Je umewahi kujutia kosa ama usaliti kwa mpenzi wako?

Je umewahi kusalitiwa na msaliti akaangukia katika laana ama malipizi ya makosa yake baada ya usaliti?

Kubwa zaidi, je ni kweli kuwa usaliti hulipiziwa kwa mapenzi yake mola?

Ama ni imani tu tumeshajenga kuwa ukifanya usaliti lazima uje kuadhibiwa pia na kujuta?
 
Hiv mnasaliti ili iweje?? Halaf ukishasaliti ndo umepata nin??? Sijawah saliti sjui kabisa na wala nilienae hajawah saliti.pia
 
kama ni hivyo basi 90 percet ya wakaka na wadada waliofikia umri wa mapenz basi wangekuwa na malipizi ya usaliti maana weng wamesaliti wapenzi wao
 
kama ni hivyo basi 90 percet ya wakaka na wadada waliofikia umri wa mapenz basi wangekuwa na malipizi ya usaliti maana weng wamesaliti wapenzi wao

mapenzi mengine ni normal sana pengine hata wakiachana hakuna anayeumia ila nilitaka kujua kwa waliowahi kuumiza ama kutendwa vibaya kutokana na aina ys uhusiano kufikia hatua nzuri pengine ya kuaminiana ama hata kuweka malengo ya kuwa mke na mume, pengine hata kuchumbiana, ama kuoana kabisa alafu unatendwa vibaya.
 
Back
Top Bottom