Adui wa mwanamke ni mwanamke

Adui wa mwanamke ni mwanamke

Abdillahjr

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
694
Reaction score
320
Wanawake wanapotetea haki yao wanakua na umoja sana,lakini linapokuja suala la haki/maendeleo ya mwanamke mmoja wanakua wanapingana na kupigana majungu na fitina, mfano cheo kazini,uzuri,kipato na hata kwenye kugombea uongozi wako tayari kumpa mwanaume kuliko mwanamke mwenzao.

Mfano hai mkubwa wa maisha yote- mwanaume anapoona rafiki yake wa kiume ana mke/binti mzuri sana na yeye atatafuta mwanamke mzuri zaidi au kama yule, lakini mwanamke walio wengi mwenzie akiwa na mwanaume mzuri na mjuvi basi atafanya juu chini amuibe na kutembea nae.

Je kweli adui wa maendeleo ya mwanamke ni mwanamke mwenzie majibu tafadhali- muongozo; majibu ya kilusinde lusinde hayaruhusiwi.
 
Bwana mda mwengine Efficiency inahusika! Sio kuendekeza ujinsia kwenye masuala ya msingi na muhimu kama ofisini. We mchangu mwanamke hawara wa bosi kama kiongozi wa Otu afu ungoje siku ya Hearing yako ya mwisho kabla hujafukuzwa ndo utajua kura yako moja ilihusika sanaaa! " Dear hata mimi naona anamakosa huyo! Afukuzwe tu, we need to be strict!" Mazafanta!!!!!!!!!!!

Mimi binafasi kwenye mambo ya cheo au ya business yanayohusika na chapaaa i go for EFFICIENCY na yule mtu tunaelewana vipi na atanifaaa vipi mimi kama mimi. The others can go ........... themselves all i care.

EVERY BODY FOR HIMSELF GOD FOR US ALL.
 
Lara moko kwenye issue ya maslahi nakuunga mkono msimamo wako,nachohoji mimi ni kwa nini wanawake wengi Hawawa-appreciate wanawake senza??!! kumbuka mada yako kuhusu waume za watu na wakina dada sophy& co kwa kutetea kula waume za watu,hata blogs nyingi za wanawake ni kusengenyana na majungu- U turn na yule j-lo wa bongo ni mfano!!!
 
kivipi???!! tiririka???!!! Hembu angalieni mfano Diamond anavyogombaniwa na wanawake utazani magari ya posta asubuhi???!! au kuna Yule jamaa anaitwa Kelvin "Twist"
Kuna wanaume wengine sijui hua wanashindwa kutafuta wanawake wazuri au wanashindwa kutongoza,wakiona mwenzao anamwanamke/mke mzuri ndio wanataka na wao hapo hapo, na huyo Diamond kwani wanamtaka kikweli sibasi tuuu....
wanawake wengine wana maradhi yakua na super star ili na yeye akahadithie kama yuko nae...
 
Kutoka kwenye kucha hadi thread hahaha.
Haya bwana. Adui wa mtu ni mtu mwenyewe.

kwenye kucha nimeona watu wanatetea tu na hawataki kukili kama ni vibaya,wanaishia ooh zina kazi yake kwenye uwanja wa fundi seremala pasipokukubali na uchafu wake kwa afya!!! Big up kwa kutoka msimamo wako kule!!!
 
Kuna wanaume wengine sijui hua wanashindwa kutafuta wanawake wazuri au wanashindwa kutongoza,wakiona mwenzao anamwanamke/mke mzuri ndio wanataka na wao hapo hapo, na huyo Diamond kwani wanamtaka kikweli sibasi tuuu....
wanawake wengine wana maradhi yakua na super star ili na yeye akahadithie kama yuko nae...

kuna ukweli lakini kwa hako katabia naona wanawake wanaongoza kwani wanaume huwa tunaambizana kuwa yule ni demi/mke wa fln so achana nae,watu watamla wakwako kama wana visa na wewe,lakini hata kama mtu akitongoza cha mtu mwanamke anakua hajui kama ye ni wa mwingine???!! Kwa nini wanakubali kutupangisha poleni utazani tupo NMB bank????!!
 
hahhahaha Jr kupangishwa foleni kuta ivoo..
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi iko kinyume, hebu mnyime mwanaume utupu uone habari yake atakuwinda kila mahali na kama ni biosi wako kimenuka
 
Siku hizi iko kinyume, hebu mnyime mwanaume utupu uone habari yake atakuwinda kila mahali na kama ni biosi wako kimenuka
Binti-eee " in the time of crisis I was not hurt by the harsh words of my enemies, But by the silence of my lovers "

nyie mna yenu ya AJABU!!
 
Mtoa mada nakuunga mkono. Wanawake wengi tuna fitina sisi kwa sisi ingawa huwa tunabisha. Tunachukuliana wanaume kila kukicha, tunasengenyana sana hasa kwenye vikundi utasikia huyu naye kajifungua tumbo limekuwa kubwa, mara siku hizi kafulia.etc. Kwenye ndoa ndo usiseme chokochoko huletwa na mama mkwe na mawifi, baba mkwe na mashemeji huwa hawana time na ndoa yako. Sasa hapo utasemaje? Wanawake tuna mapungufu mengi.
 
kwa hiyo hujawahi kutana na mwanaume anae tembea na mke wa rafiki yake sababu ni mzuri?
Hujawahi kutana na wanaume wanao chafuana kazini sababu ya wivu ?
Hujawahi ona hata katika siasa mtu kumgeuka rafiki yake sababu anataka nafasi yake?
Hujawahi ona mwanaume kumharibia mwenzie hata pale anapojua he will not benefit?
Au mi ndio sijaelewa swali lako?
 
mwanamme mfalme bwana anachotaka anapata kwa muda wowote
 
Back
Top Bottom