MAPENZI yasababisha kifo

MAPENZI yasababisha kifo

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
from messages of my phone

" mida mida tu kuna mdada hapa jirani kafa kanywa sumu, kafunga harusi mwaka Jana mwezi wa saba na ameacha mtoto mdogo sana, haya yote yanasabishwa mapenzi."

taarifa zimeeleza huyo mwanamke kasalitiwa na mume wake na akaamua kujiua mapema leo huko ARACHUGA.

nyinyi wazee wa michepuko punguzeni kama siyo kuacha, sasa huyu mtoto mdogo atakikua atakuwa anamuonaje baba yake akijua usaliti wa baba yake ndio ulipelekea kifo cha mama yake?

inauma sana japo simfahamu aliyefariki.
 
jamani mapenzi haya juzi tu kuna rafiki yangu mmoja alitaka kufa kwa sababu ya kuachwa bila sababu yaani mpaka katundikiwa dripu,dont fall in love or fall in it at your own risk.
 
from messages of my phone

" mida mida tu kuna mdada hapa jirani kafa kanywa sumu, kafunga harusi mwaka Jana mwezi wa saba na ameacha mtoto mdogo sana, haya yote yanasabishwa mapenzi."

taarifa zimeeleza huyo mwanamke kasalitiwa na mume wake na akaamua kujiua mapema leo huko ARACHUGA.

nyinyi wazee wa michepuko punguzeni kama siyo kuacha, sasa huyu mtoto mdogo atakikua atakuwa anamuonaje baba yake akijua usaliti wa baba yake ndio ulipelekea kifo cha mama yake?

inauma sana japo simfahamu aliyefariki.

Poor little one, ehe Jamani hizi ndoa, mapenzi na mahusiano eehee mungu tusaidie.
 
Najua mapenzi yanauma ila kwa kweli huwa nawashangaa sana watu wanajitoa uhai kwa ajili ya maumivu.
 
Tunapenda tofauti sana, Wengine bora wao wafe kuliko wanaempenda awaache
Wengine wanaua wanaowapenda, Wengine wataugulia maumivu tu

Na wapo watakao potezea maisha yaendelee tu ... Ni vurugu mechi kwa kweli.
 
Hapa ndipo ninaposema Mapenzikazi kweli hasa ukimpenda mtu ki ukweli kabisa alafu akufanyie mambo kama hayo lazima unachukua hatua kali Pole yake huruma yangu ni kwa mtoto.
 
Hapa ndipo ninaposema Mapenzikazi kweli hasa ukimpenda mtu ki ukweli kabisa alafu akufanyie mambo kama hayo lazima unachukua hatua kali Pole yake huruma yangu ni kwa mtoto.

me too homie i can feel the pain
ila Mungu amrehemu
 
Najua mapenzi yanauma ila kwa kweli huwa nawashangaa sana watu wanajitoa uhai kwa ajili ya maumivu.

Yaaani ht me sipati jibu...nijiue kisa dushe..?? Yapo madushe mangapi mjini hapa..mxiuu....hajiui mtu ht akichepuka na ndgu yangu wa damu..sijiui...nimwache aendelee kufaidi aah wapii..tutafundishana adabu tu
 
Wanaume wangapi wanajiua au kufa kabla ya wakati wao kisa mbunye mbona hausikitiki hivyo.
Au ndiyo kunya anye kuku bata.....
 
Ndiyo maana mm huwa nasema, heri uamini mpenzio ni mchepukaji japo huna ushahidi, hii inasaidia sana ukifumania
 
Wanaume wangapi wanajiua au kufa kabla ya wakati wao kisa mbunye mbona hausikitiki hivyo.
Au ndiyo kunya anye kuku bata.....
elewa mada kabla ya kuamua ujibu nini? hapa nimeripoti tukio, na nimeongelea watu watatu tu hapaa, mwanamke(aliyekunywa sumu),mwanaume(aliyesaliti) na mtoto(aliyefiwa mama yake akiwa mdogo sana kisa usaliti wa baba yake)

hii mada sikuwa nawaongelewa wanaume.

na mwisho nikatoa ushauri kuwa wanaochepuka wapunguze kama si kuacha {huu ushauri ndio general kwa team mchepuko bila kujali jinsia }
 
Mara nyingi maamuzi yanahitaji busara ...
 
Wanaume wangapi wanajiua au kufa kabla ya wakati wao kisa mbunye mbona hausikitiki hivyo.
Au ndiyo kunya anye kuku bata.....

mada haihusu wanaume. think critically.

hii mada inahusu tukio na kwenye makosa tunaangalia.

nimeongelea watu watatu tu.

mtoto(aliyefiwa mama yake kisa usaliti wa baba yake).

mama/mke(aliyekufa baada ya kunywa sumu).

baba/mume(aliyemsaliti mke wake kwa kutembea na mwanamke mwingine).


mada ndio inahusu hawa watu watatu.

sasa kwa akili yako nani wa kulaumiwa kama siyo aliyechepuka?

mwisho nikatoa ushauri wa jumla kwa wachepukaji wote bila kujali jinsia nikashauri wapunguze kama siyokuacha kabisa
 
Aliyejinyonga ni mpumbavu huyo, kafa na kawaachia wenzake mali waendelee kujitafunia watakavyo...
 
Back
Top Bottom