michael western
JF-Expert Member
- May 7, 2014
- 544
- 259
Nimechezewa kiakili na feelings za mapenzi.
Miezi mitatu iliyopita nilitongoza id moja maarufu ya kike humu MMU na CHITCHAT,kila mtu akaonyesha interests zake kwa mwenzake,sifa alizonitajia nilizipenda.
1.Mnyenyekevu.
2.mvumilivu
3.mwenye heshima
4.mwenye future nzuri
5.kamaliza chuo.
kwa vile alikuwa anaongea polite alinivutia ILS
alikuwa anakwepa kunipa namba ya simu,ila kadiriki kusema ananipenda sana na kunitumia picha zake kadhaa (fake pics).
Nilidata kwa miezi tatu.,Jana kanifungukia kwamba anaona dhambi kunichezea akili na kufunguka kwamba yeye ni mwanaume alikuwa anacheza tu na akili yangu.
Nimefedheheka sana