Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

am so lonly no job no love da! ni shidaa aseee.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
http://youtu.be/9YI7BWmwmK8?list=PLmtcKKdGjr8n k2hu3k0QO579TR8bOrBwC
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakubwa naomba ushauri,kuhusu rafiki yangu mmoja tulisoma wote o level, kipndi kile alikuwa na mpenzi wake na walipendana sana yaani, na yeye ndiye aliyemtoa bikra ila baada ya muda wakaachana na...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Za siku nyingi wapendwa? Nadhan baadhi yenu mnakumbuka nilileta uzi humu kuwa nina ujauzito na jamaa haeleweki nyumbani ndo hivyo tena. Namshukuru Mungu ujauzito wangu wa miez 6 unaendelea...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Sasa Sharia haitamlinda Mbakaji Afghanistan... sana endelea.... Afghan mullah who raped girl in mosque sentenced to 20 years Until the Elimination of Violence Against Women law was passed in...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello memberz, Naomba kuuliza, baada ya mama kujifungua anatakiwa kufanya nini na ni wakati gani anaweza kukutana kimwili tena na mumewe. Wakunga asanteni.
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Habari zenu waungwana. Sina shaka kwa uweza wa manani wengi wetu kama si wote-tunayo siha ya kutosha jioni hii. Ashukuriwe mwenyezi Mungu. Wapendwa wanajamvi; Naomba tutanguliwe na busara na...
0 Reactions
44 Replies
21K Views
Ni katika ukumbi wa Mapenzi na hoja mchanganyiko au vipi wadau ? kaazi na dawa :D Ni tofauti kabisa ,wakati wa makutano utamsikia mwanamke akihimiza umguse sehemu fulani tofauti na sehemu...
0 Reactions
57 Replies
11K Views
Naitwa baba Zai wa Buguruni Dar, nimeoa na tumebahatika kupata mtoto mmoja. Kutokana na mke wangu kuwa anafanya kazi, tulilazimika kutafuta mfanyakazi wa ndani. Mke wangu amekuwa akirudi kutoka...
2 Reactions
161 Replies
27K Views
Habari wana JF Ni karibu miaka mitatu sasa tangu kuanza mahusiano na mchumba wangu lkn mpaka sasa amekataa katakata kunipeleka kwao ili nikajitambulishe na kuweka wazi lengo letu katika...
0 Reactions
61 Replies
13K Views
KAZI sana! Mkazi wa Buguruni, Rukia Nassor amekimbilia Kituo cha Polisi Buguruni jijini Dar kutoa taarifa ya bintiye Saida Said (18) (pichani)kutoroshwa nyumbani kwake siku chache kabla ya...
1 Reactions
66 Replies
8K Views
Naombeni kuuliza, hivi kuna maana yeyote ya kumpigia simu demu wako wa zamani ukiwa na mpenzi wako wa sasa eti kuthibitisha kua mmeachana na huyo demu wako wa zamani kwa demu wako mpya. Wewe...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Wana jf, miezi kama mitano iliyopita nilikuwa katika hali ambayo naweza kusema ni upuuzi na ulimbukeni wa maisha, nilikuwa mtu wa kujirusha sana, matanuzi ya kufa mtu, matumizi ya kijinga yasio na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi Ni Kijana Wa Kiume,nina Miaka 27,elimu yangu ni Diploma, mimi ni mkristo, ninatafuta mchumba wa kike, sura ya kawaida, mkristo, elimuyoyote, umri asizidi miaka 26, tuwasiliane kupitia 0763175935
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Mpende na umheshimu mtu anayekuamini ukiwa mbali naye,uko mbali ila anakuamini hana wasiwasi,hata mkiwa kwenye ndoa akienda kumalizia kozi unamwamini. Wanaoojidai hawawezi distance relationship...
4 Reactions
80 Replies
8K Views
Nakumbuka nikiwa mdogo sikuwai kumsikia mama akimkashifu baba hata siku moja, hata wakati mwingine mzee alikua akirudi chakari amelewa lakini heshima yake ilikua palepale haijawai kushuka. Na wala...
19 Reactions
48 Replies
6K Views
mimi sina kitu kwa sasa ila napambana na maisha, natafuta rafiki wa kike ambaye nitakuwa naye bega kwa bega katika kushirikiana naye katika kutafuta na ikiwezekana muda ukifika basi tunaweza...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Sasa Sharia haitamlinda Mbakaji Afghanistan... sana endelea.... Afghan mullah who raped girl in mosque sentenced to 20 years Until the Elimination of Violence Against Women law was passed in...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Sasa Sharia haitamlinda Mbakaji Afghanistan... sana endelea.... Afghan mullah who raped girl in mosque sentenced to 20 yearsUntil the Elimination of Violence Against Women law was passed in...
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Kuna msemo maarufu usemao "NI RAHISI KUPATA KAZI UKIWA NA KAZI" kwani unapoenda kwenye hojaji unakuwa hauna papara wala wasiwasi wowote...unatiririka bila hofu na kujikuta umepata kazi nzuri...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…