wonderaz
Member
- Apr 16, 2014
- 60
- 7
Iwe ni mke au mume umebahatika kuwa na mtoto mmoja ambaye mzazi mwenzio labda kwa mapenzi ya Mungu alitangulia mbele ya haki au labda hamkuweza kudumu mkafarakana na kutengana inayopelekea wewe kuwa singel mum au dady, lakini baada ya muda mrefu kidogo kama single mum/dad unafaikiwa kuwa na mahusiano mapya na mke/mme mwingine mwenye uwezo kifedha na mafanikio makubwa anaamua kuchukua jukumu la maisha yako wewe mke/mme na mwanao kuanzia msosi mpaka shule(basic needs kwa ujumla),lakini mwisho wa siku wewe single mum/dad ukaharibu na kufika hatua ya uhusiano kuvunjika.
Lakini mwenza wako huyo mwenye mkwanja nafsi inamsuta kwa kuyaacha maisha ya mtoto yule yateketee.
Swali
Je tajiri huyo amsamehe huyo mwanamke/mume waishi kama zamani au amuombee yule mwenza wake amchukue mtoto amsomeshe na amlee ili kuhakikisha mtoto future haiharibiki.
Msaada naombeni wandugu naweza nisiwe mhandishi mzuri ila natumai imeeleweka.