mtoto mpole
JF-Expert Member
- Mar 22, 2010
- 678
- 148
Umeolewa three years ago na mkafanikiwa kupata mtoto mmoja unampenda sana mumeo ila ukaja kugundua si mwaminifu yaani ana michepuko yake mingi yenye uhakika ni miwili sasa hii inakuumiza unajitahidi kumuuliza kwa upole na unyenyekevu ila yeye anakua mkali balaa na majibu yake siku zote nu hata
1. Huyo nimemjua kabla yako.
2.Sisi(wewe na mumeo) tumekutana ukubwani tukiwa mijitu mizima kabisa.
3. Unanichunguza sana unataka nirudie tabia yangu ya zamani.
4. Mbona mimi sikuulizi ulizi haya mambo?
Halafu hapo anakua mkali kabisa mke akishajibiwa hivyo anakuwa mpole tu ila anakuwa na mawazo sana na anaogopa kumuuliza mumewe why anamjibu hivyo sababu anakuwa mkali sana na binti kugombana ndo hawezi sababu anakosaga sana amani swali je kwanini huyo mume anajibu hivyo?na binti afanyeje kukomesha hayo majibu sababu yanamkwaza sana especially number 1&2.