Hili limenishangaza kwa kweli

Hili limenishangaza kwa kweli

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,360
Habari za hapa wadau?

Nakumbuka nilikua na mpenzi (mrembo) niliedumu naye kwa mwaka mmoja, ilifikia kunifosi niishi naye magetoni kama mke na mume, sikuafiki hilo! kwani nilihitaji kuwa huru ile huriaaaaaaaaa! may be nikule ujana! alijifanya kuridhika na kumkatalia. but baada ya mda nikagundua yule mupenzi amebebwa na mjamaa mwengine na anaishi naye kama mke na mume! haikua shuhuli kwangu maana niliamua tu kumpotezea mwisho wa siku nikaamua kupima na majibu yalitoka mazuri ile baridi barafu.

Wakati anaendelea kunizuga nikaamua kumpa ukweli kwamba simuhitaji but yeye akang'ang'ania kwamba mimi ni mpenzi wake na hatukua tayari kuachana kwani ananipenda sana. sikujua alichonipendea! mmmh! nikaacha ulokokole na kukubali kuendelea kumgonga kwa kuamini mbunye hazikinaishi!!!! Teh teh teh! walokole fake wa jf mniache nipumue.

katika saka saka zangu nikapata alietulia na kujielewa ni mzuri kiasi but ni mfupi, wafupi muwe na uvumilivu.

Ok naomba mjiengeze kutokana na maelezo hayo ili tuende kwenye issue.

ISSUE:
Leo huyu demu mwenye mme wa kuishi naye (not wa ndoa) amejileta geto mida mibovu. ikimanisha ile mida ambayo yule anaejielewa anatinga.

Kama kawaida yangu nikampa za uso kwamba mupenzi ataingia mda si mrefu. khaaa!!!! si ajitie kununa eti sijatulia na hicho ndicho kilichonishangaza.

KUMBE MKUKI KWA KITIMOTO EE

MY TAKE:

KE MUWACHE USHAMBA NA KUJIONA MNAUMIA NINYI TU. KUDADEKI KWA KE WOTE WENYE HAKO KATABIA.

maana nimeshuhudia sana kuona ke kaolewa na anakamchepuko but mwisho wa siku anajifanya kumdhibiti yule mchepuko wake kiasi cha kumzuia ku do na ke wengine. shame on you ke.

WALOKOLE FAKE WA JF MNIACHE NIPUMUE.
 
Nimependa uandishi wako uko kishkaji sana ndugu niko na imagine hapa huyo bidada anaejilewa kama alikuta timbwili ilikuaje
 
Nimependa uandishi wako uko kishkaji sana ndugu niko na imagine hapa huyo bidada anaejilewa kama alikuta timbwili ilikuaje

Hahaha MankaM hata mm nilkua nasubir amalizie
Hahahahaaaa. MankaM uandishi ni art tu but for somehow ni kaelement flani ka kujiamini si unajua tena ukiandika kiboya boya wadau wanavyokushambulia hapa!
:focus:
baada ya hapo alijidai kununa but alitoka, kabla wa ukweli hajafika.
Imekula kwake.
Na ndio ameshaharibu. kwasasa itabaki story tu. kiukweli simuhitaji tena.


Haya umesikika

ok. thanks kwa kuelewa na kama ulikua na hako katabia ni heri uache.
haswaaaaa alikuwa anatingisha kiberiti imekula kwake mazima
kama ulikuepo MankaM.
hizi habar za kugandana
me sizipendi kweli napenda niishi
alone raha mstarehe nikimiss dudu
nikufuate sio habar za kuhamia kwa
mshikaji haiji kabisaaa

Hahahahahahaaaa. wazidi isuuza roho yangu wallah!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa. MankaM uandishi ni art tu but for somehow ni kaelement flani ka kujiamini si unajua tena ukiandika kiboya boya wadau wanavyokushambulia hapa!
:focus:
baada ya hapo alijidai kununa but alitoka, kabla wa ukweli hajafika.

Na ndio ameshaharibu. kwasasa itabaki story tu. kiukweli simuhitaji tena.

ok. thanks kwa kuelewa na kama ulikua na hako katabia ni heri uache.

kama ulikuepo MankaM.


Hahahahahahaaaa. wazidi isuuza roho yangu wallah!

ndio hivyo nakumbuka kipindi niko chuo nilikuwa nimepanga nje ya chuo niko alone room watu hawakuamini eti kwanin naishi mwenyew... hawakujua tu huwa sipendi usumbufu hizi habar za kugandana mara uko wapi sijui unafanya nini aaghhh thubutuuu hilo dudu likija ntalikuta lodge sio room kwangu hahahaaaa ubandidu ule ni ligi aiseee.... lakini nilikuwa napenda ile life safi sana sio habar za kuongozana kama sisimizi
 
Malizia basi huyo mwingine alikuja akamkuta or???

hakumkuta mamaafacebook. nakumbuka kabla sijamwambia hivyo alishaandaa lundo la maCD eti anataka kuzichek! khaa! nikaona huyu ataniharibia afu akaenjoy na me wake. mi nikapasuka, akajifanya kununa but akatoka kabla chibebi hakija timba.
 
Khaaa mbona unajihami sana...unaonekana hauko comfortable kabisa na unachokifanya
 
hakumkuta mamaafacebook. nakumbuka kabla sijamwambia hivyo alishaandaa lundo la maCD eti anataka kuzichek! khaa! nikaona huyu ataniharibia afu akaenjoy na me wake. mi nikapasuka, akajifanya kununa but akatoka kabla chibebi hakija timba.

hahahaaaaa na angekuumbuaje
 
hizi habar za kugandana
me sizipendi kweli napenda niishi
alone raha mstarehe nikimiss dudu
nikufuate sio habar za kuhamia kwa
mshikaji haiji kabisaaa

Itakuwa Mtu kakuandikia bila shaka(hackers wameingia kwenye account yako)!!!!
 
Back
Top Bottom