jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Jamani nipongezeni kwa hili, nilikuwa na uhusiano na wanawake watatu hivi.
Kila kukicha huyu analeta invoice ya matatizo yake, mara kuwapigia simu wote.
Huku utume vocha, nilikonda jamani eti.
Nimesitisha tu huduma kwa siku mbili karibia wote eti wananijia juu, eti hunipendi mara oooh hujali matatizo yangu, sasa hivi mimi nilikua mtatua matatizo na si mpenzi.
Nimepiga chini wote na kwa sasa yaani najisikia kama nimetoka jela, vinyweleo vyote vinapumua.
Nimeota na kitambi kwa sasa maana hakuna stress tena.
Poleni mlioko kwenye mikiki mikiki, mwenzenu niko huru.