Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Angalia kwa makini picha hii Chatu kamkaba mfalme cobra huku mfalme cobra akimng'ata chatu..Nyoka wote wawili walikufa, mmoja kutokana na kukosa hewa na mwingine kutokana na sumu. Na hivi ndivyo...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Sex, sio mpango mzima, very chaotic and too much work, massage on the other hand, is very pleasurable and much relaxing. So watoto wa kiume, massage maiichukulie poa, the feelings is something...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo...
13 Reactions
316 Replies
11K Views
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani...
27 Reactions
264 Replies
8K Views
  • Poll Poll
STORI YA JUMA: SAFARI YA MAISHA NA MAAMUZI MAGUMU Naomba kutunza majina halisi kwa heshima ya wahusika. Habari za leo wana Jamvi! Naomba nilete kwenu huu uzi wa maisha halisi ya mshkaji mmoja...
9 Reactions
49 Replies
3K Views
Hata kama alizaliwa bonyokwa ndani ndani huko nyumba ina ufaa wa miaka 8 na aliishia la saba, baba anabeba magunia kwa wahindi, mama anauza vitumbua mtaani na yeye hana kazi maalum lakini still...
7 Reactions
101 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu, Binafsi nikikumbuka mpka nasema kweli Mungu yupo. Yule dada alikuwa mchawi kweli kweli na kila mtu alimuogopa. Mimi baada ya kutoka chuo nikaenda kumtembelea babu kijijini...
25 Reactions
102 Replies
10K Views
Ukute alikuwa mtoaji mzuri tu si mchoyo, alikuwa anashare taarifa,pesa n.k Lakini alipokutana na kurumbembe ambalo halikufunzwa kwao likamnyoosha. nayeye binti/kaka wa watu akaona isiwe tabu...
3 Reactions
17 Replies
762 Views
KUTAKA KILA MTU AKUONGELEE VIZURI NI KUTAFUTA MSONGO WA MAWAZO KUWA MWEMA ILA USIJALI WATAVYOKUONGELEA Zama zinaenda kasi na vifo vitokanavyo na matokeo ya msongo wa mawazo vikiongezeka ikiwemo...
3 Reactions
4 Replies
543 Views
Mzee Mushi (sio jina lako halisi lakini ni mchaga) wewe ni mstaafu wa shirika la Posta, nilikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na binti yako Scola na wewe ulijua tena nilikuwa na mipango nae...
101 Reactions
226 Replies
19K Views
Tusisumbuane na mambo ya salamu........ NB:- MI SIO MTAALAMU SANA KIUANDISHI WALA KUPANGILIA VISA NA MATUKIO KWA HIYO SOMA VILE UTAKAVYOELEWA, AMBAVYO HAUTAVIELEWA NITAJIBU KWENYE COMMENT...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Wikiendi moja niko zangu kwenye kilaji ndio nilikutana na hili jinamizi lililojipachika jina la Sarah, tunaburudishwa tu na hawa warembo wanaofanya kazi kwenye sekta yao isiyo rasmi (kujiuza) muda...
37 Reactions
154 Replies
24K Views
Hali vipi wana JF! Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu : 👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei...
15 Reactions
123 Replies
7K Views
Hii ni story ndefu kidogo ndugu wajumbe, ni ya kweli kabisa sio chai kama ambavyo watu wanaweza kuiita, matukio mengi nimeyakata ili kupunguza urefu kwa hiyo kama mtakuwa na maswali kuhusu baadhi...
9 Reactions
62 Replies
8K Views
Tunamaliza mwezi January 2025 Kama umechepuka,au umeshazini ndani ya siku hizi 30,wewe ni mzinzi pro,unahitaji maombi
4 Reactions
15 Replies
794 Views
Kama mwanaume utahitaji show utoe hamu zako na hauna bajeti nzuri gharama ya chini kabisa ni Tsh 30000-50000 kwa raundi 3. Jijini Dar gharama ya kupata ngono haizidi 15000 kwa raundi 3
16 Reactions
106 Replies
10K Views
MWANAMKE ANAYEJITAMBUA HAWEZI KUWA MCHEPUKO AU MKE WA PILI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Binti yàngu, kwetu Watibeli ni mwiko Kwa Binti zetu kuolewa Mke wa Pili au Uke Wenza au Kuwa...
14 Reactions
305 Replies
9K Views
Aisee kataa ndoa sometimes nawaelewa Fulani ila nyie sababu yenu haswa Huwa haina mantiki Mimi yangu ni spesheli. Binafsi Mimi Huwa sipendi mwanamke msahaulifu wa mambo na ukimuhoji kwanini...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Lazima nikubali hii. Sote ni watu wazima, kwa hivyo hakuna sababu ya mimi kuificha. Kuna sifa zingine kadhaa ninazotafuta kwa mwanamke, kwa kweli. Walakini, ni lazima nikiri kwamba nina udhaifu...
10 Reactions
67 Replies
24K Views
Katika uhusiano wa kimapenzi, kuna maoni tofauti kuhusu kile kinachopaswa kuwa kipengele muhimu zaidi katika kuchagua mwenza. Je, mvuto wa kimwili (physical attraction) au akili (intellectual...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Back
Top Bottom