Binafsi hadi hii leo sijawahi kukutana na mdada mwenye makalio makubwa (curvy) halafu eti anaishi maisha ya kuunga unga

Stability

JF-Expert Member
Jan 30, 2020
368
950
Hata kama alizaliwa bonyokwa ndani ndani huko nyumba ina ufaa wa miaka 8 na aliishia la saba, baba anabeba magunia kwa wahindi, mama anauza vitumbua mtaani na yeye hana kazi maalum lakini still anakula vizuri zaidi ya sisi tuliorudi veta.
a4dc782c77572cde865f7158c3f115e4.jpg
 
Ukitaka kujua nenda kwenye mabaa, wamejaa kibao na kuna wengine wameamua kuigeuza miili yao kuwa kula yao.Ila wapo wengine japo ni wachache mno wameamua kuulinda utu na heshima yao,kuna mmoja ana bonge la tako ila anauza uji.
 
Hata kama alizaliwa bonyokwa ndani ndani huko nyumba ina ufaa wa miaka 8 na aliishia la saba, baba anabeba magunia kwa wahindi, mama anauza vitumbua mtaani na yeye hana kazi maalum lakini still anakula vizuri zaidi ya sisi tuliorudi veta.
View attachment 3304949
Kwa mtizamo (mindset) huu lazima kila mwaka utarudi VETA si mara moja. Ni mara mbili na zaidi.

Badala ya ku imagine makalio, imagine pesa. Kwa huu mtizamo Mungu akikupa pesa utapeleka kwenye makalio tu.🤣

Change your Mindset, change your life and destiny, otherwise with such big but mindset, VETA inakuhusu.

Anyway its your choice.
 
Hata kama alizaliwa bonyokwa ndani ndani huko nyumba ina ufaa wa miaka 8 na aliishia la saba, baba anabeba magunia kwa wahindi, mama anauza vitumbua mtaani na yeye hana kazi maalum lakini still anakula vizuri zaidi ya sisi tuliorudi veta.
View attachment 3304949
1. Si Me wote hupenda makalio makubwa
2. Huyu Ke ni Me aliyechangamka, ana sura ya Baba na hana haiba ya kike.
3. Marufuku kuhalalisha madhaifu yako kufananisha na madhaifu ya wengine.
4. Ke Mzuri sana bila akili, nyeti zake hupata tabu sana.
5. Uzuri wa gari ni injini si umbo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mbona mamalishe wengi wanamatako makubwa na wengi hawana ndoa
Mkuu umenikumbusha hebu Leo niende kwa Yule dada msukuma. Yaani mwanamke ana mzigo Yule sura nzuri na ni mrefu (ila ana miguu mibaya) ila yupo anauza mgahawa tena uchochoroni kabisa na yuko kawaida Sana utakmkuta na twende kilioni zake kichwani, mgauni wa kitenge Yuko bize jikoni.
 
Kuna mmoja ni mbulu mweupe na mwengine mmasai wana matako halafu wateja wanaya chezea na kuyashikashika. Ila yule wa kimasai ndio amepanda halafu bonge furushi,ila huyu Mbulu ni oya oya hajali kijana au mzee wote anaruka nao.
 
Mimi sijui kuhusu huyu msukuma kama anachezewana wateja sijawahi kushuhudia though kuna jina wanamuita(we msukuma mshamba usie na faida). mara moja moja huwa napenda kwenda pale, huwa napenda haiba Yake ni mpole na hata Hilo jina wanalomwita wala hakasiriki naona ameshazoea
 
Washazoea na wakiwa wakali wateja wana wanawakimbia.Kama juzi nilikiwa nipo Kkoo kuna mzee mtu mzima alikiwa kamaliza kula, baada ya kunaishwa akampiga dole.
 
Back
Top Bottom