Mjinga alinidanganya anaitwa Sarah kumbe ni Shoga

Mcheza Viduku

JF-Expert Member
Jun 24, 2020
1,049
2,535
Wikiendi moja niko zangu kwenye kilaji ndio nilikutana na hili jinamizi lililojipachika jina la Sarah, tunaburudishwa tu na hawa warembo wanaofanya kazi kwenye sekta yao isiyo rasmi (kujiuza) muda huo mi najifanya mgumu tu sitaki mazowea na sketi wala vimini na hata kuhudumiwa nilichagua kijana mwenzangu anihudumie kinywaji

Matatizo yalianza ilipofika bia nadhani ya 5 au 6 hivi akaingia mdada wa kawaida tu sio mnene sana wala huwezi kusema ni mwembamba, kifupi ana umbile ambalo ndio ugonjwa wangu mkubwa, wakati anaangaza sehemu ya kwenda kukaa nikawa nimeshajua kuwa huyu sio mteja ila ni mboga hii nikamuita kwa ishara za siri wale wadau wa kupiga top hizi mboga watakuwa wanaelewa, akaja mezani kwangu akanirushia salamu na mi nikamkaribisha aketi

Piga kinywaji na stori kwa sana huku naona uzuri wa yule mgeni wangu unazidi kuongezeka, moyoni nikawa nazilaumu kamati za mashindano ya urembo kushindwa kuwaona warembo kama huyu aliyeko hapa mbele yangu, majibu ya bia ni kuanza safari za lazima kwenda na kutoka maliwatoni mgeni wangu akiwa ni mmoja wao, kila akiinuka naliangalia umbo lake najisemea moyoni tu "hiii yani leo nitapiga tako la viwango vya dunia"

Kila akirudi kutoka maliwatoni tunajifanya tumeshakuwa wazungu tunapokeana tunakumbatiana mabusu kama yote achilia mbali hizi mnazoita denda sijui nini, lakini sasa kila nikataka kujaribu kupenyeza mkono kwa chini (alikuwa kavaa mini sketi moja matata sana) ili nipime oil naona ananizuia, nimejaribu kama mara 3 hivi anagoma nikajua labda hapendi tu.

Vumilieni ni ka stori karefu kidogo, kama saa 7 hivi tukakokotana kwenda kulala lodge, fika room akawa wa kwanza kufanya utangulizi wa shoo piga sana madenda nikanyonywa sana gegedeo tena kwa ufundi mkubwa kila kitu tulifanya vizuri tu, ndani ya muda mfupi mi nimeshachojoa kila kitu yeye akainuka kwenda kuzima taa, nikaona ni kawaida tu, akarudi keshavua.... Kawaida yangu hata iweje lazima kidole kizame kwanza kwenye papuchi kwa ukaguzi zaidi kabla sijaanza kupiga UNO, hapo ndio nikapata mshituko mkubwa nilipokutana rungu kama nilivyo mimi tu.

Nikatoka kitandani nikawasha taa.

wewe nini hiki......

Nikamuuliza

Usijali baby kwani cha ajabu nini njoo bwana tufanye kilichotuleta humu

Eti bila aibu likanijibu ivo kwa sauti ya puani, nikaanza kupata kichefuchefu nilipokumbuka tulinyonyana ulimi, sikumjibu kitu nikaanza kuvaa nguo zangu, likanifuata limefura kwa hasira eti usinizungue we kaka kama umeahirisha nipe changu la sivyo nitakujazia watu hapa, mi namcheki tu huku nimejaa hasira.

Nilipomaliza kuvaa nikamgeukia nikamwambia kwa msisitizo "ukiniacha niondoke bila wewe kunijazia hao watu litakuwa ni jambo jema sana kwako, lakini ukipuuza hili ukaamua kuwajaza hao watu basi utakuwa umewaalika kuja kushuhudia mzoga wako humu ndani" kisha nikamsukuma pembeni nikafungua mlango (alikuwa ameziba pale mlangoni) nikatoka zangu nje.

Sasa nimeshasikia maneno mshenzi yule eti anatangazia watu kwamba mi nina kibamia.
 
Back
Top Bottom