Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu...
20 Reactions
25 Replies
4K Views
Madhumuni ya Mungu kwa binadamu kuoana ni: 1.Mke na Mume kustareheshana kuoitia sex 2.Kuzaa watoto ili kuendeleza dunia
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Habari.. Hivi ni kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanajiamini sana na ni majasiri sana kupita kiasi.. Yani unakuta mwanamke anakalio kubwa na kakuvalia dera au kigauni cha ujiuji chepesi...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwenu ma dada zetu, Ombeeni sana hii roho iwatoke wanaume zenu. Mashemeji wamekuwa radhi kutumia laki bar na kushindwa kutoa hata 20,000 nyumbani familia ile wafurahi. Tuombe. Baba, katika...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Hello Hivi mnaoexperience au mliowahi kuziishi hizi tofauti mtuambie iliwezekanaje na inawezekanaje, yaani nataka nijue ukawaida wake,. Yaani ile utakuta familia moja lakini watoto wanakwambia "...
7 Reactions
60 Replies
3K Views
Ndivyo unaweza kujidai katika UGA wa mapenzi, Ladha ni ulimi Ladha ni kirungu na kila ana chake na ulimi wake kama ilivyo kwenye mbegu ya harage kila mtu na harage lake. Hata muwe mapacha hakuna...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Mambo ni mengi Sina hata haja ya kutoa salamu za utangulizi , Niko na mixed feelings Niko Na speed kama Maisha ya Kila siku , niseme tuu life halinitendei poa au Mimi sijitendei poa . Nipo...
2 Reactions
4 Replies
324 Views
KISA CHA MAPENZI YA SIRI NA MZIZI WA LAANA. Hiki ni kisa halisi, kilicho katika vurumai kubwa kwa sasa. Nimeamka nikakitafakari, nikaamua kuiandika humu nipate ushauri wa kushauri. Tafadhali isome...
0 Reactions
7 Replies
797 Views
Salaam jamiiforum. Dunia inaenda kasi, mitindo ya maisha inabadilika,watu wengi wanakata tamaa. Asiye na pesa anadhani tatizo lake ni kutokuwa nazo ndiyo maana anateseka? Yes swali ni lenye...
3 Reactions
5 Replies
495 Views
Wakuu Nimefanya tafiti kidogo,nimegundua kuwa wadada wanao ondoka nyumbani kwenda kufanya kazi mahali, mfano wa kazi ususi,house girl kuhudumia gest,hotelini bar nk wengi wao huharibikiwa na...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Tumugoje tumuleshe? Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?" Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke...
32 Reactions
240 Replies
19K Views
Habari wakuu! Wiki hii imebadilisha mpangilio mzima wa ratiba yangu kwa kuumaliza mwaka huu. Kisa na Mkasa ni kama ninavyoendelea kueleza hapo chini. Mwaka 2012 nilikutana na Binti mmoja ambaye...
9 Reactions
127 Replies
16K Views
Huyu dada tumesoma nae shule ya msingi. Nikiwa msingi, waliniita mtoto wa mama, kwakua nilikua naogopa wanawake. Siku moja alimwambia rafiki yangu kua, ajifanye tunaenda chooni kisha tukifika...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za leo, Jamani naombeni kujuzwa, hivi wanandoa walio na umri kuanzia miaka 70 na kuendelea, je bado wana uwezo wa kujamiiana?
1 Reactions
46 Replies
9K Views
Wakuu kamwene, mwamishaga. Iko hivi nlipata mdada mmoja kwenye group la kabila letu nikampenda nikamwambia anitumie picha akawa anatuma picha ambazo kumbe ni edited si halisia mdada alikuwa south...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
Ndoa ya Aziz k na hamisa mobeto ni alama na mfano wa kuigwa kwa sababu 1. Hakuna mwanaume mwenye utimamu wa akili na mwili anaweza badili Imani yake ya dini , mahusiano yake na MUNGU kwa sababu ya...
11 Reactions
88 Replies
4K Views
Mwanaume, unaponunua ngo'mbe kamwe usinunue kwenye eneo au kijiji ulichopo. Kwanini?! Kwa sababu kuna siku ng'ombe ataenda mtoni kwa lengo la kunywa maji. Kisia nani atakuwa eneo hilo?! Ni...
32 Reactions
73 Replies
3K Views
Sasa hivi utaratibu ni njoo na wawili nilete wawili kisha tuongeze mmoja maisha yaendelee. Weekend baba yupo kwa baby mama na mama yupo kwa baby daddy wanaita kucooparent. Role model wao ni...
3 Reactions
5 Replies
398 Views
Safari hii nataka ni date na mume wa mtu for benefit,yaani anifungulie biashara,nilisha date na mume wa mtu alikua ananizagamua tu na kunipa chips kuku na viela vidogo!! Vidogo!! Sasa...
13 Reactions
109 Replies
5K Views
Back
Top Bottom