Wakuu ebu tupeane mbinu.
Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.
Nitumie mbinu...
Wakuu hii kitu ni hali ya kawaida au nafeli mahali nguvu za kiume ninazo nina uhakika tatizo ni kwamba sijawahi kuletewa hata stori kwamba nimempa mimba nimpe hela akatoe.
Puli napiga kidogo tu...
Baada ya kuachana na aliye kuwa mke wangu nilitafuta mpenzi ambaye nimekua naye kwa miezi miwili sasa. Leo tulikubariana tuonane nimemtafuta saa tano akasema nisubiri mda sio mrefu atanipigia...
Ukubali ukatae huu ndio ukweli na utabaki kuwa ukweli,
1) Ukiwa umetoka kula bata na mume wa mtu,
Wewe utaenda nyumbani kwenu lakini yeye atarudi nyumbani ambapo anaishi na familia yake...
Mwanaume mmoja ameibua taharuki mitandaoni baada ya kumkamata mkewe akiwa anamsaliti, kupiga picha tukio hilo, kuichora kwenye fremu, na kuitundika katika sebule na chumba chao cha kulala licha ya...
Mwanamke umempokonya toka mikononi mwa mwanamke au wanaume wengi kwa chambo ya pesa na vitu then unamwoa.
Tulia tu ndugu hiyo ndoa hamtoboi.
Mwanamke umemkuta bar kaja kunywa pombe au soda ndugu...
Mi katika maisha yangu nimeishi sana na Mjomba wangu katika Jambo ambalo Mjomba wangu alinikataza sana alisema'" mpwa wangu katika Maisha yako usioe mke unaempenda"
Hili Jambo Mjomba...
Habari.
Jamani hiki ni kitendo mimi sikipendi na sifanyi hivyo kumtemea mate mwanamke wakati wa tendo. Binti usikubali kutemewa mate sehemu za siri ni uchafu na zalau, mate ni mazuri kwa romance...
Wanaume kama manara ni wachache mno siku hizi
Mimi siku nipate mwanaume atakaenipokea bila hata Nida hakii ningeshukuru
Wengi ni materialist.huna kitu anakuchezea Tu.
Mungu atamlipia Manara...
https://youtu.be/Cvpm7ckpd_M?si=XZrDOzXkE3ZHrsBO
Habari wadau kabla hujaanza kusoma vaa earphone hapo bonyeza huwa wimbo kenny g nimeu pin ili ukusadie kuzama kwenye kisa soma soma kisa...
Asilimia kubwa ya Wehu, vichaa na mataahira wengi tunaokutana nao barabarani ukiwachunguza vizuri utagundua hawana uvungu chini ya nyayo zao za miguu.
Ukikutana mwenza ambae hana uvungu ila yuko...
Kuna dada mmoja nilisoma nae chuo miaka kadhaa iliyopita huko Moshi, ni rafiki yangu sana. Yeye bado yupo Moshi, mi niko Arusha.
Amekaa katika ndoa kwa zaidi ya miaka mitano bila mtoto...
Dah! Asikwambie kitu, Dar ina wanawake wazuri lakini sikuwahi kuona mwanamke kama niliyemuona siku ya leo
Siku ya leo nimeamua kutoka kwangu, somewhere X nikatembelea maeneo fulani hivi ya uswazi...
Mara kadhaa nimeona mijadala humu kuhusiana na single mothers, kwa wengi imekuwa ni ushujaa kuwasema vibaya hawa wanawake wenye mtoto ama watoto na kwa kweli walioamua kulea watoto wao bila uwepo...
Wakuu nipokisiwani ukanda wa ujitani,naomba nikili wazi kwa bongo bongo kama hujawai umana na penzi la kijita wewe Bado sana,wakuu hizi jita's ladies ni mtu na nusu,zinajua si kitoto
Wakuu...
Sifa zangu
1) Spiritual lakini siamini katika dini za watu weupe
2) Culture ya maisha yangu ni Vegan
3) Umri wangu ni 35
4) Ni mweupe, Mtanzania
5) Nimejiajiri
Sifa za ninayemtaka
1) Awe mweusi...
Wapendwa wanajf jamvi la MMU, nawatakia wkend njema. Kwa wenye kugonjwa wapone haraka, wenye matatizo mbalimbali Mungu awasaidie . Na wazima awazidishe heri. Ntakuwa safarini Kazuramimba...
Hakuna Mwanamke ambaye yuko mbali nawe iwe Tanzania kwa Tanzania au Tanzania kwa nchi Jirani au Tanzania kwa Mataifa ya Ng'ambo na Mbali kabisa halafu asibanduliwe / asikanyagwe / asitinduliwe na...
Ukiwa Katika mazungumzo na manzi kuhusu mambo ya dushee,akiwa anasema neno hili
NI WEWE TU.
Yaan mapigo ya moyo huwa yanaenda kasi kinoma.
Kwa mfano mazungumzo aya.
Boy: Muda gani tuonane...
Habari Wana JF.Ni kijana wenu nimekuja Tena kuleta experience yangu ya kuishi na mama mpaka umri wangu huu wa utu uzima.Bila kuwapotezea muda niliyoyagundua ni haya kutoka Kwa Mama na Baba japo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.