Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mkuu wa kituo kimoja cha police hapa wilayani Mbozi amemng'ata mhudumu wa bar sehemu za siri wakati wakijiandaa kupeana mambo,tukio hili limetikisa sana vichwa vya watu wengi hapa mbozi,chanzo ni...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Mara nyingi tunasikia na kuona watu wakinyooshewa vidole kua "wanajiuza tu hao" au "anajiuza tu huyo". Sasa nimejikuta najiuliza Je kujiuza kunaanzia wapi na kuishia wapi? Ni mpaka mtu atilie...
5 Reactions
74 Replies
10K Views
Wakuu wiki ya pili hii siioni hot talk. Ni kwamba haipo au?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Sorry, I am really sorry. I don't want to do it again. This is my first and may be the last if you agree to help me. Do you want to get your files back? That is so easy just do this. I want...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
I love to feel loved but I cant the stand rejection, I tried to a seduce in different manners and techniques but it seems that the fortune is not mine. It seem that I have been running in the...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Inakuwaje mdada hujabakwa useme umepata mimba kwa bahati mbaya? Umetongozwa ukakubali au umejitongozesha mwenyewe mkapanga appointment ya kufanya kale kamchezo ukaenda mwenyewe eneo la tukio...
0 Reactions
139 Replies
24K Views
Jana mchumba akaniomba nimnunulie kitu fulani hivi, ni cha bei kali, nilitaka kusita ila nikawaza sana, nikakumbuka nimehonga kiasi gani kwa wanawake baki tu, kisha nikajisemea nimehonga vingapi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
mm nikijana wa kiaka 22 ninaishi dar cna uwezo mkubwa wa kimaisha kiivyo bt natafuta mpenz mwenye cfa kazaa nzipendazo awe mrefuu mweuc wastan mwembamba spendi mwanamke mwongeaji sana tabia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mkuu wa kituo kimoja cha police hapa wilayani Mbozi amemng'ata mhudumu wa bar sehemu za siri wakati wakijiandaa kupeana mambo,tukio hili limetikisa sana vichwa vya watu wengi hapa mbozi,chanzo ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kitu kibaya kilinitokea nikiwa kozi ya uongozi huko Zanzibar mwaka 2009, tukiwa kozi tulikua tunapata mapumziko siku za weekend hivyo kutumia nafasi hiyo kwenda kutembea beach na siku hiyo ya...
7 Reactions
59 Replies
12K Views
Hivi wanajamvi ukimkataza mkeo usiwasiliane na mtu ambaye una mashaka naye naye akaendelea tena namba yake hiyo hajaiandikia jina ina manisha namba hiyo haiko kwenye phonebook yake anamanisha...
5 Reactions
142 Replies
17K Views
Wadau naomba niwachokoze tena kwa haka kaswali uchwara. Etii ule muda wa kulala ukifika wewe hupenda mwenzi wako akufanyie kitu gani hasa,au akutamkie kitu gani ili usingizi wako uwe murua...
0 Reactions
124 Replies
12K Views
Habari za leo Wandugu. Kunakitu nataka ku-"share" nanyi. Kwakifupi kuna Binti mmoja alikuwa mpenzi wangu kipindi nasoma chuo wakati yeye alikuwa anasoma sekondari na tukaja kuachana baada ya mimi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuanzia leo wanawake wote humu MMU tuungane kususia kuchangia thread zinazotugusa, humu maana kila siku thread zote ni kuhusu wanawake (mama zao, shangazi zao, watoto wao wa kike,) kwa uchungu...
3 Reactions
104 Replies
10K Views
Jaman who is the best man for me? Nimechoka kudanganywa Mungu nionyeshe mwanaume mwema. Hadi kusoma nashindwa kisa mapenzi Mungu nisaidie.
1 Reactions
102 Replies
7K Views
Usiku huu ni kama bahasha iliyofungwa hakuna anayejua ndani kuna nini, jikabidhi kwa Mungu maana yeye anajua yote. Usiache kufanya maombi kabla hujalala maana usiku wakati umelala maadui...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari za leo mabibi na mabwana. Huwa najiuliza kuwa, vile vifaa ambavyo vinatumiwa na watengeneza/wasafisha kucha vina usalama kiasi gani? Maanake huwa vinatumiwa na watu wengi na sijawahi kuona...
3 Reactions
36 Replies
7K Views
Habari wanajamvi, nadhani mambo yanaenda vyema. Leo nimepata ugeni mdogo wangu mtoto wa mama mdogo kaja kunitembelea nyumbani kwangu. Kanieleza tatizo lake nimeshndwa jinsi ya kumsaidia...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Ninaongelea mahusiano ya muda mrefu yanayoweza fikia ndoa mahusiano mengine hapana. Nimeandika maana mara nyingi wako (kwa kusoma post zao) watu wenye uhitaji kiukweli lakini unaona kabisa jamii...
8 Reactions
45 Replies
7K Views
Hapo hajawahi kukuambia kama anatumia haya makitu wakati wa game,we unajua show anayopiga ni kutokana na nguvu zake za asili kumbe ni mchina,hamad siku unagundua ni addicted na viagra utachukua...
1 Reactions
153 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…