A man's biggest mistake is giving another man opportunity to make his woman smile, do you play your role to make your wife smile??
huyo mwanamke wa hivyo lazima awe maharage ya mbeya ,kwa style hiyo usaliti utaendelea milele
Kama umeshindwa kumfanya asmile utasaidiwa tu acha awe maharage, awe viazi vya mbea almradi she is happy...huyo mwanamke wa hivyo lazima awe maharage ya mbeya ,kwa style hiyo usaliti utaendelea milele
A man's biggest mistake is giving another man opportunity to make his woman smile, do you play your role to make your wife smile??
Off course!!! Wanaume wengi hufikiri kuwa serious na kuwa mkali mkali kwa mkeo na familia yako ndiyo unajenga heshima!!!
Heshima hujengwa kwa kuiweka familia yako iwe na furaha muda wote, yaani ukirudi home wanashangilia na kuruka ruka kwa furaha badala ya kila mmoja kutafuta pa kujificha wakisikia unarudi!!
Ukishaona uwapo na mkeo hana furaha, wanaompa furaha wako mbioni kukugongea au ushagongewa!!
Maana siku hizi tuna VIJIdume visoisha kulalamikia KE, hatuna MADUME YA MBEGU YANAYOHIMILI MAISHA. Wakija wenye mibavu yao wakawachukulia mnalialia.
A man's biggest mistake is giving another man opportunity to make his woman smile, do you play your role to make your wife smile??
Sijui ni fasihi imetumika hapo? Nachojua mimi mjomba, kosa kubwa kwa maisha yote ya mwanaume ni kuoa mwanamke mwovu, ni kheri kuishi na nyoka kuliko huyo.
^^
huyo mwanamke wa hivyo lazima awe maharage ya mbeya ,kwa style hiyo usaliti utaendelea milele