Sijapata mwanamke aliyekidhi vigezo

Sijapata mwanamke aliyekidhi vigezo

Mapigo Saba

Senior Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
129
Reaction score
28
Wadau jana nili-post hapa uzi wa kutafuta Mwenza, Mi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 ni mfanyakazi, sasa nilisema nahitaji mke awe na umri wa kuanzia 20-27, na akiwa Mwalimu au Nurse ni vizuri but not limited, Na mimi ni mkirstu naishi kanda ya ziwa, Kwa Mwanamke aliyetayari please ni-PM au niandikie katika email darmwanza@gmail.com.

Note:- nahitaji serious relationship na process zingine zitafuata. Awe na tabia njema tu.
 
Mkuu umepost jana tu leo unadai hujapata anayekufaa mbona bado mapema sana? Vuta subira mambo mazuri hayataki haraka...
 
Yaani utoe uzi jana.......leo uwe umepata. .....?......puliiz bana......
 
huku hakuna wanawake wa kuolewa.
 
Inawezekana alikua anamuhitaji kwa Christmas...........looooo

Dah.......ningekuwa free ningempa kampani.......tatizo wote tushabukiwa kwa ajili ya msimu huu.......labda acheck kuanzia tar 5 huko January..........
 
Dah.......ningekuwa free ningempa kampani.......tatizo wote tushabukiwa kwa ajili ya msimu huu.......labda acheck kuanzia tar 5 huko January..........

frankly speaking... mimi kila nikionaga mwandiko wako tu, kamoyo kangu kanacheza mchiriku. Ipo siku nitafunguka tu kwakweli, nisije kufa nalo moyoni. Hata miss chagga nishamtaarifu kuhusu hili na akanishauri vizuri mno. :smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Mkuu acha kuvamia msitu kwa kiwembe. Mambo taratibu, kuwa na subira watakuja tu!
 
frankly speaking... mimi kila nikionaga mwandiko wako tu, kamoyo kangu kanacheza mchiriku. Ipo siku nitafunguka tu kwakweli, nisije kufa nalo moyoni. Hata miss chagga nishamtaarifu kuhusu hili na akanishauri vizuri mno. :smile-big:

Basi karibu nyumbani...... miss chagga umeshamwambia shemeji yako shindo she uta.......?
 
Last edited by a moderator:
Funguka mkuu ya nini kufa na msongo wa mawazo?Lakini jitayarishe.
 
Funguka mkuu ya nini kufa na msongo wa mawazo? Lakini jitayarishe.

mmh mkuu hapo kwenye red... mbona unaanza kunifanya nisite kufunguka kwa huyo mlimbwende. NIJITAYARISHE kwa lipi tena, jema au baya au changamoto? CC Preta
 
Last edited by a moderator:
Basi karibu nyumbani...... miss chagga umeshamwambia shemeji yako shindo she uta.......?

ahsante mama. haya nipe direction. Hii bahati kubwa sana aisee, huwa sichezei fursa adimu kama hii. Nikishakuona tu nahisi moyo wangu ndo uta-vibrate zaidi ya mtetemo wa greda
 
Back
Top Bottom