sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,160
- 48,367
Wakuu salam.
Jana nlikua maeneo eneo katika ile michakato ya ...sio dili.
Kilichonifedhehesha ni wakati nlienda dukan kununua kondomu nlimkuta binti mdogo saana anauza duka, kwa kumkadilia ana miaka kama 10 au 9 hivi. Nlipo fika dukani nikamwambia binti nipe kondom.
Yule binti alinifungia kondom huku akitetemeka saana, kwa hofu saana.
Kitendo cha yeye kuwa na hofu kilinifanya nipate maswali mengi saana moyoni mwangu, yasiyo na majibu.
Jambo lingine ambalo lilinikera zaidi ni kuuziwa kondom na mtoto mdogo kama yule, nadhani sikumtendea haki kabisaa.... maaana naona kwa namna moja au nyingine ni kumfundisha mambo ya kikubwaa wakati bado umri.
Wazazi tuwe makini na bidhaa ambazo tunawaachia watoto wauze kwani bidhaa hizo nadhani sometime huenda zikawa kishawish tosha kwa watoto kujiingiza na tabia mbaya.
Heri ya krismas na mwaka mpya kwa all MMU.