Natafuta mama mtu mzima

Natafuta mama mtu mzima

burtons

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
280
Reaction score
86
Wana JF natafuta mama mtu mzima kuanzia miaka 35 up to 45 yrs ambaye ntakua na date naye please kwa aliyetayari ani inbox pia awe tayari kupima HIV n

naomba kuwasilisha JF
 
Mkuu mama mtu mzima kwa shughuli gani? Maana naamini hata bi mkubwa wako ni mama mtu mzima,atakufaa kwa ushauri
 
pole,,,,,, hivi huwaga mnatafutaga kutaka kujua nini kwa hao mama watu wazima???????? maana huu ugonjwa unazidi kukua,,, na tiba inaonyesha bado haijapatikana,,,,,,
 
Sikushangai sana, coz LIFE has a lot of options. Kila lakheri kiongozi
 
Back
Top Bottom