Maoni yatakayofanikisha utafiti wangu

Maoni yatakayofanikisha utafiti wangu

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Wana-MMU na wana-JF niko kwenye utafiti ili kufanikisha na kuelewa zaidi kwa kile kinachosemwa na watu kuhusiana na uwezo wa kufikiri wa mwanaume hupungua kwa asilimia 60% akiwa amedindisha(samahani kama nimetumia neno kali, sijui neno mbadala wake).

Katika mahojiano yangu na wadau wachache ambao nimewahi kufanya nao mahojiano wanaitetea hoja hii kwa kusema mwanaume akiwa kwenye hali hyo anaweza kufanya maamuzi mazito yatokayomfanya ajute atakapo rundi katika hali yake ya kawaida.

Wadau wanasema maswala ya kuhonga hela nyingi, kubaka, kupingana kwa sababu ya ngono, kulazimisha kufanya mapenzi na mpenzi wake, wakati hataki pamoja na mengine mengi hufanywa mara nyingi na mwanaume akiwa kwenye hali hiyo


Hoja hyo inaota mizizi kwa kuangalia vidume katika viumbe vingine kama mbwa,beberu punda,ng'ombe,kuku na fisi(kwa tuliobahatija kuona fisi akifanya mapenzi).

Wana-mmu naombeni uelewa wenu na baada ya kukamilika kwa utafiti wangu
 
Wana-MMU na wana-JF niko kwenye utafiti ili kufanikisha na kuelewa zaidi kwa kile kinachosemwa na watu kuhusiana na uwezo wa kufikiri wa mwanaume hupungua kwa asilimia 60% akiwa amedindisha(samahani kama nimetumia neno kali, sijui neno mbadala wake).

Katika mahojiano yangu na wadau wachache ambao nimewahi kufanya nao mahojiano wanaitetea hoja hii kwa kusema mwanaume akiwa kwenye hali hyo anaweza kufanya maamuzi mazito yatokayomfanya ajute atakapo rundi katika hali yake ya kawaida.

Wadau wanasema maswala ya kuhonga hela nyingi, kubaka, kupingana kwa sababu ya ngono, na kungangania kufanya mapenzi na mpenzi wake, wakati hataki pamoja na mengine mengi hufanywa mara nyingi na mwanaume akiwa kwenye hali hiyo


Hoja hyo inaota mizizi kwa kuangalia vidume katika viumbe vingine kama mbwa,beberu punda,ng'ombe,kuku na fisi(kwa tuliobahatija kuona fisi akafanya mapenzi).

Wana-mmu naombeni uelewa wenu na baada ya kukamilika kwa utafiti wangu nitaleta feedback kwa hoja nzito na msingi kuhusiana na swala hili.
Uliyoyaeleza hapa ni kama general objectives za utafiti wako. Yako wapi maswali ya utafiti wako? Ulichokiomba hapa ni maoni tu na hayatakusaidia.Toa orodha yako ya maswali mkuu.
 
hv kumbe alimpata ha ha ha na binti mlokole kaona amfiche kabisa...

Kwa ukimya wake, wallah kafichwa mahala. Mlokole akiongea tule tu sweet voice twake Shy land hakohoi. Imebidi aje na ID hii mpya mlokole asione hizi tafiti zake ...
 
Last edited by a moderator:
Kwa ukimya wake, wallah kafichwa mahala. Mlokole akiongea tule tu sweet voice twake Shy land hakohoi. Imebidi aje na ID hii mpya mlokole asione hizi tafiti zake ...

Aiseeee! hv ni kwa nn??
 
Last edited by a moderator:
nataka tu kujua hili swala
JE UKIDINDISHA UNAUMIA AU UNAPATA RAHA
 
nataka tu kujua hili swala
JE UKIDINDISHA UNAUMIA AU UNAPATA RAHA

unaumia ila sio kama maumivu ya kupigwa fimbo...

Yaan ni sawa na ww unavyoanza kutoa lubricant na critor ikiumuka vp unaumia au unaona raha
 
Back
Top Bottom