Kwa mwanamke alie tayari tu

Kwa mwanamke alie tayari tu

caballelo

Member
Joined
Jul 1, 2014
Posts
58
Reaction score
7
Mimi ni kijana,umri chini ya 35 na ni mrefu kama fut 6 ,mkristo na ni mweupe kiasi,nahitaji mwanamke kwa kufahamiana na mahusiano ya muda mrefu,umri wake uwe walau 25 na 29,ALIE TAYARI AJE PM,KAMA SI MUHUSIKA TAFADHALI FANYA KAMA HUJAIONA
 
Mbona sijafika huo umri sasa? Husninyo nitaftie cheti cha sitti:msela:
 
Last edited by a moderator:
Urefu na ukristo wanini. Vipi kipato chako kwa mwezi kina tarakimu Saba. Nipe jibu faster nifanye maamuzi
 
Urefu na ukristo wanini. Vipi kipato chako kwa mwezi kina tarakimu Saba. Nipe jibu faster nifanye maamuzi

aisee ungeweka na picha yako kabisa tuthaminishe kama unaendana na ulichokiulizia..
 
aisee ungeweka na picha yako kabisa tuthaminishe kama unaendana na ulichokiulizia..

Dunia ya leo allwomen sura tofauti bt da same brain, they love money not man! Tugomeni kuoa tuone kama pesa zitawaoa pumbavu hawa!
 
Nikiachika ujue nakuwa mama yako wa kambo. Mie natafuta mchepuko hapa umemuita huyo baba wa kazi gani? Ama unamtaka mkweo?
mkweeee! huyo saizi yangu niachie. ntakusemea kwa Paw mie.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom