Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana jamii, mimi ni mwanaume mkamilifu kabisa, nina miaka 34, nina mtoto1. najitokeza kwenu kutafuta mwanamke wa kuoa, awe mwelewa, mwenye hofu ya Mungu, awe amekua kiakili na kimwili pia...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Tofauti na Zamani, idadi ya wanawake kuwa na makalio makubwa imeongezeka kwa kasi kubwa sana mnamo miaka hii 2000 mpaka 2015. Imekuwa kero kwetu sisi wapenda mahaba ya dhati, hawa wanawake...
1 Reactions
125 Replies
24K Views
Hii video inaonyesha jinsi Wanaume wa kweli walivyokuwa na Upendo wa kweli kwa Wanawake na kamwe hawawezi kumpiga mwanamke. Angalia hilo jaribio la hao watoto na kisha utaona ya kwamba kama kweli...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Sisi ni Kikundi cha Wavulana watatu ambao tumekuwa pamoja na tumesoma pamoja hadi hatua ya kuajiriwa Serikalini mmoja kati yetu ameajiriwa Serikali kuu na wawili tupo katika mashirika ya umma...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wana JF, am a young guy, age 26. Basically ni Mwandishi wa articles, Hadithi fupi, Riwaya, report na proposals. Pia nafanya Graphic designing kidogo. Am looking forward kupata Marafiki...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za xmass wana jf, Kama title inavyosema, nahitaji binti aliyetayari kuolewa anipm, awe na vigezo vifuatavyo Miaka isizidi 28 elimu isiwe chini ya form 4 kabila lolote Mwenye heshima...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Nipo Songea mjini sim no.0788557751
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu ni matumaini yangu mu wazima na heri ya mwaka MpYa barua hii ya wazi nailekeza ofisi ya mheshimiwa Madam spika ni kipindi kirefu nimekuwa nikatafuta mawasiliano ya ofisi yako bila...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau wajukwaa hili niko mbele yenu kuomba ushauri ni jinsi gani naweza kuachana na punyeto. Nilianza mchezo huu nikiwa na na miaka 22 mpaka sasa ni mwaka wasaba na mpaka sasa nimeshindwa...
0 Reactions
46 Replies
12K Views
Mimi nina msichana wangu tuna mahusiano ya zaidi ya mwaka mmoja, atujawahi shea kimapenzi na kuolewa hataki anasema hadi baada ya miaka minne ijayo atakuwa amemaliza Chuo je ni ana mapenzi ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Leo nimetongoza dada mmoja tunaimba naye kwaya..sasa kwa bahati mbaya au nzuri kuna mwanakwaya mwenzngu kaniona,,tena yeye ni Choir Master…yaani hata dakika kumi hazikupita huyo jama...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Natafuta rafiki wa kike, ambaye tunaweza kwenda steji ya pili ya uchumba na Ndoa. umri kati ya 18 hadi 24, awe Muislam, Mfupi lakini si Mbilikimo Elimu yeyote.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta rafiki wa kike ambaye yupo serious awe na Elimu si chini ya Kidato cha sita awe na umri wa miaka 18 hadi 23.
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Jamaa mmoja leo amesalimisha simu mbili kanunuliwa na mahawara zake mbele ya mkewe akaomba wapigiwe wasimsumbue tena na tena, aamua kubaki na kitochi cha Nokia. Je mumeo unamuuliza kapata wapi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kipindi kile cha harakati nilikuwa simuiti mpenzi wangu kwa jina lake mara mara kwa hofu ya kuchanganya majina na michepuko yangu, namuita tu dear,baby au honey kuhakikisha sifanyi makosa ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je kuna ukweli wowote.??
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni Mhandisi,mjasiliamali naishi Dar es salaam. Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao. Zaidi nitumie PM.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa Single kwa muda sasa. Ninahitaji binti,kwa kuanzia,rafiki,na labda kadri muda uendavyo kuingia phase nyingine ya maisha. Umri wangu miaka 30,Dini mkristo,Kabila Mu-Ikizu,Elimu yangu,Chuo...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Wadau, nilishaleta lalamiko kama hili hapa jukwaani juu ya Binti mmoja kunichomesha mahindi pale Kigamboni Fery. Cha kushangaza hili swala limezidi kabisa yeyote ninayemwambia tuonane hukataa ama...
0 Reactions
85 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…