Barua ya wazi kwa "Madame Spika"

Barua ya wazi kwa "Madame Spika"

Kilaza

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
3,324
Reaction score
1,379
wakuu

ni matumaini yangu mu wazima na heri ya mwaka MpYa

barua hii ya wazi nailekeza ofisi ya mheshimiwa Madam spika ni kipindi kirefu nimekuwa nikatafuta mawasiliano ya ofisi yako bila mafanikio nikaanza kutafuta mawasiliano ya mmoja wa wabunge wako vilevile nikaambulia patupu

hivyo nimeamua kufunguka ili kama kuna mtu yoyote aweze kunisaidia kufikisha ujumbe wangu ofisi ya madam spika au hata ofisi ya huyu mbunge..

madam spika mbunge huyu kijana nimetokea kumzimia mbaya kabisa kwanza ni mpole mrembo hana jazba ni msomi pia ni mjumbe wa kamati tukufu ya PAC iliyoko chini ya zzk

madame spika mbunge huyu ni kutoka chama cha mapinduzi sema yuko kwenye lile kundi la wabunge wa "viti maalum" akiwakilisha mkoa wa Arusha jina lake la mshahara anaitwa Catherine ukipenda utamuita Cathy au hata kate sio mbaya sana mbunge huyu ni mjukuu wa mzee magige

walai tena huyu "baby wa mjengoni" huwa nikimuona nachanganyikiwa kabisa ni bahati mbaya sijawai kumshuhudia akichangia mada kwenye bunge letu tukufu.sijui siku nikimuona akichangia itakuaje

Madame spika huyu mrembo amenifanya niwaze kugombea ubunge wa jamuhuri ili tu nimpate
nikawa najiuliza nikigombea alafu na yeye asiwe mbunge itakuwaje.....!! lakini kwa uziri alionao hakuna mtu atakayeweza kumnyima kura

Madame spika naomba unisaidie kufikisha ombi langu

wako katika kujenga Jamuhuri kilaza
 
Wanasaikolojia husema jambo linalokusumbua ukilisema kwa watu unakuwa. Mithiri ya mtu aliyepumua baada ya kukosa pumzi.
 
Kweli kizuri chajiuza,....Kile ni chombo cha ukweli sana! Kila la kheri kaka!
 
Madamu Supika yumo humu, jina lake linaanziwa na Faiza
 
vip
utakubali kuchapiwa? maana baba zako na babu zako utakubali kula nao
sahani moja!, maskini bora wao wana pesa! kila la kheri dogo.
 
duhhh haya bana hopefully atalipa hili kipaumbele. lol
 
Huyo mbunge mwenyewe member huko, hivyo amekusoma.Uwe unapitia pitia kule ofisi ya PM.
 
Back
Top Bottom