Sio vizuri kumpiga mke wako

Sio vizuri kumpiga mke wako

Jesus doesn't want us yo beat others

i quote from one of the kids
 
Mwanamke hata akikuudhi vipi hapaswi kupigwa. Akinuna wewe mchekeshe, akikasirika wewe mletee utani au masihara. Akiongea wewe mtanie. Akirusha ngumi wewe mkumbatie na akilia wewe msindikize kwa mabusu na ile issue ya faragha.
 
Mkeo hata akigongwa na shamba boy tena chumbani kwako mkenulie tu meno!!!,!!! Mambo ya huko kwenu Pwani hayo!!
 
Weupe wana thamini wanawake kwa tafsiri ya hii vidio ila wangekuwa weusi lol mdada angejuta
 
I love those kids jamani so cuteeee!!!!

Mambo ya kupigana hapana ukinipiga ujue me na wewe tunamalizana wanaume hebu jifundisheni mahabat
 
Mwanamke hata akikuudhi vipi hapaswi kupigwa. Akinuna wewe mchekeshe, akikasirika wewe mletee utani au masihara. Akiongea wewe mtanie. Akirusha ngumi wewe mkumbatie na akilia wewe msindikize kwa mabusu na ile issue ya faragha.
Una maanisha kweli au unanogesha jukwaa/
 
Wanaume mnaopiga wake au kuwatreat vibaya kwa namna yoyote mjue mnajitafutia tabu baadae mje kutulaumu.
Nimekukosea unanipiga kama vile sina akili ya kufundishika unadhani najisikiaje?
Kukurudishia siwezi lakini OMBA SANA HUYO MWANAMKE ASIWE MTU WA KINYONGO.
Wengi tu humu wanakuja na kesi za kusikitisha kuhusu wake zao ila hawasemi wazi kua ni wakati wao kulipa.
Na aanzae hajulikani ila anaemalizia.
 
Mwanamke hata akikuudhi vipi hapaswi kupigwa. Akinuna wewe mchekeshe, akikasirika wewe mletee utani au masihara. Akiongea wewe mtanie. Akirusha ngumi wewe mkumbatie na akilia wewe msindikize kwa mabusu na ile issue ya faragha.

mkuu akirusha ngumi we ikinge na uso, si unampenda.
 
Kure kwetu razima kibano bana na imehararishwa bana usiporipiga ritaona huripendi Mura...
 
mkuu akirusha ngumi we ikinge na uso, si unampenda.

Mpaka hiyo ngumi ya uso ikupate itakuwa bahati mbaya, kwa sababu kitendo cha kumuwahi kumshika mikono na kumkumbatia hatoweza tena kurusha ngumi yoyote.
 
Mpaka hiyo ngumi ya uso ikupate itakuwa bahati mbaya, kwa sababu kitendo cha kumuwahi kumshika mikono na kumkumbatia hatoweza tena kurusha ngumi yoyote.

labda asiwe mndengereko au mzaramo wana kiburi sana hawa
 
Back
Top Bottom