Asalimisha simu za hawara zake kwa Yesu

Asalimisha simu za hawara zake kwa Yesu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,310
Reaction score
38,667
Jamaa mmoja leo amesalimisha simu mbili kanunuliwa na mahawara zake mbele ya mkewe akaomba wapigiwe wasimsumbue tena na tena, aamua kubaki na kitochi cha Nokia.

Je mumeo unamuuliza kapata wapi simu mpya ama ukipewa techno unakaa kimya?

Loh!
 
Back
Top Bottom