Wife

Wife

gwahe

Senior Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
147
Reaction score
84
Je kuna ukweli wowote.??
 

Attachments

  • 1420827482819.jpg
    1420827482819.jpg
    35.4 KB · Views: 541
Kwa sasa inabidi kuwa muangalifu katika upembuzi wa suala hilo na tafakari za kina vinginevyo wife can be a knife kweli•
 
Binafsi hawa viumbe wakina lara 1 nikuishi nao kwa akili sana km vitabu vitakatifu vinavyosema.

Kuna rafiki yangu, mke wake alitoa mimba mara mbili ndani ya ndoa. Alipotoa ya pili, bahati mbaya au nzuri walimtoa vibaya. Tangu Siku ile alianza non stop bleeding. Baada ya miaka 4 huku juhudi za hospital zikigonga mwamba huku damu zikiendelee kumtoka. Akaamua kuokoka na kumrudia Mungu na baada ya mwaka mmoja ndoa nayo ikavunjika.

This is a true knife. Wife are truly knife can cut positively or negatively. Let us think widely. See widely how to live with is creatures.
 
Last edited by a moderator:
Habar ndo hiyo...HAKUNA JIPYA HAPO..ILa kwa muoga. Ukiishi na mwanamke kwa akili aisee, mbona dunia ni peponi bob! Maana utamtumia vema....hutajutia uamuzi wako wa kuoa, ni rrraha mustarehe, ni kichocheo cha maendeleo yoyote na ni chachu ya furraha kuu na ya kusta ajabisha.

Mwanamke ndiye cheko la ulimwengu, ukimtumia vema. Ameumbwa kwa ajili ya mwanaume....unachopaswa wew kidume ni kujua nin cha kufanya ili kujipatia furrraha na maendeleo mengne kupitia mwanamke...
USIPOMTUMIA VEMA....UTALIA NA KUSAGA MENO....Huo msemo wa mtoa mada uko sahihi kabisa.
 
Hii inaonyesha huwa mnatufikiria sana..kila leo thread mpya ya wanawake..ianpendeza sana
 
Back
Top Bottom