kipindi kile cha harakati nilikuwa simuiti mpenzi wangu kwa jina lake mara mara kwa hofu ya kuchanganya majina na michepuko yangu, namuita tu dear,baby au honey kuhakikisha sifanyi makosa ya kijinga. :A S wink:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.