Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna wengine wanashauri mapenzi yakivunjika mtu ajipe muda kiasi kabla ya kuingia kwenye mahusiano mengine lakini, what IF, you miss a golden opportunity while you're giving yourself a break...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Matumaini yangu muwazima wa afya, ngoja nizungumze kidogo na vijana wenzangu hasa wenye mpango wa kuoa na bado hawajui pakuanzia kutokana na changa moto ya yupi mke bora. Je...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wana Jamii Forums labda nianze na usemi wa kizungu. Behind every success there is a woman, and behind every failure there is a woman.Ni kwamba ukitaka kufanikiwa katika jambo lolote mtumie...
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Wanaume ni Baba zetu, lakini nimeumia sana kuona baadhi ya wanaume wanaopewa heshima ya kuitwa baba kuwa na Roho za kinyama. Kuna binti ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya msingi alibakwa na...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Kulala. Kukula. Kupendeza. Kuzaliwa. Kufaulu. Hata binti mmoja huku Jamii forums anaanza na ku nawewe mwanao ukitaka awe mzuri mwite Kukurito, kukoryne, kugocosta, kama mshabiki wa mpira...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Msemo huu umekuja baada ya kuanza kama utani mimi na mke wa bosi. Mwanzo mwanzo nlikuwa namuogopa na kumheshim sana, ila kila kadir siku zilivyokwenda na ndo jinsi na mimi uoga ulivyozid kutoweka...
0 Reactions
92 Replies
8K Views
Hii mada jamani naileta kwa wema tuuu, kabla jazba haijakupanda sikusemi wewe manake sikujui. Kwa wema tu unaweza ambulia mawili, matatu. Mtaani napoishi kuna shosti wangu, mtu mzima lakini ana...
26 Reactions
105 Replies
12K Views
Siyo mbaya tukibandilisha uzoefu na uelewa wetu kuhusiana na Mada inayotajwat hapo juu, hii ni kwa watu wote mwenye melango ya kuzaa watoto.Swali la kujiuliza kabla hujachangia hoja yako. Ni kwa...
0 Reactions
72 Replies
24K Views
Wanajukwaa mpo. Leo nimeona nije na hili jambo maana siku nyingi threads mbalimbali zimekuwa zikitoa lawama kwa victims wa hii kitu aisee, Kwanza kabisa naomba kukiri kuwa mimi ni mwenyej sana...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Poleni na majukumu ndugu,I hope you're all fine. Kuna kitu kinanisumbua kiakili wakati mwingine inaniingia automaticaly nabaki kujiuliza "why I'm falling in love with a girl who can't fall in...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Kila mwanamke anavitu vyake alivyojiwekea, ambavyo anataka mwanaume wa Ndoto zake awe navyo. Ikitokea akampata Mwenye hivyo vitu basi huona kamaliza kila kitu, anajisahau, anafurahia vile...
8 Reactions
64 Replies
10K Views
Katika huu mtaa wetu wa MMU ungependa kukutana na nani live? Eleza kwa ufupi step by step mwanzo hadi mwisho munaagana amekupa siku nzima! Je, wewe uliyetajwa ungependa kutoa nafasi kwake...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Heri ya Mwaka mpya marafiki zangu! yaani nyie acheni tu wallahi ! nilikaa nikasema lini nitapata muda wa kuwajoin hapa marafiki zangu nikaona nimetaitiwa ile hasa. Asante Mungu leo niko free japo...
3 Reactions
24 Replies
6K Views
Ben si nimekariri hobbies, sasa kila demu akiniuliza , "Ben hobbie yako nini"? majibu yanakuaga, Swimming, reading novels, listening to music and going out. Sasa kiranga kilichonipata jana...
17 Reactions
90 Replies
7K Views
Natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana nae mawazo sijali umri, dini wala kabila kama upo interest nicheki PM.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kaka zangu na dada zangu. Is it normal x wife kumualika x husband na mkewe dinner.Mama mkwe wangu widowed anafanya dinner kumualika baba mkwe wangu na mkewe .Waliachana miaka 40 iyopita...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Vincent Brothers Nyumba waliyokuwa wakiishi familia yake Ramani ya Nyumba Ushahidi wa kumtia hatiani ulipatikana katika kifaa hiki Jaji Michael Bush Mwendesha mashitaka Bi, Lisa Green...
12 Reactions
49 Replies
9K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!! PG 30 manake PARENTAL GUIDANCE YA HUU UZI NI 30 YRS AND ABOVE. Haya vishtobe mkalale msijikomaze bureee.Na wale watu wazima...
12 Reactions
145 Replies
15K Views
Habari za wikendi ndg wanajf. Ninawaomba msaada wanasayansi mliopo humu pamoja na wale wenye subjective experince juu ya karanga hasa mbichi na suala la mapenzi. Je ni kweli kwamba karanga...
0 Reactions
25 Replies
22K Views
1. She must be God-fearing. 2. She must not be materialistic. 3. She must show signs of being a good home maker. 4. She must show signs of discipline. 5. She must always be sensitive to your...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…