kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
Kuna wengine wanashauri mapenzi yakivunjika mtu ajipe muda kiasi kabla ya kuingia kwenye mahusiano mengine lakini, what IF, you miss a golden opportunity while you're giving yourself a break?
Halafu kuanza mahusiano mapya inasaidia kusahau haraka zaidi mahusiano yaliyopita
Have a wonderful week ahead!
Halafu kuanza mahusiano mapya inasaidia kusahau haraka zaidi mahusiano yaliyopita
Have a wonderful week ahead!