REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,295
- 11,586
Habari zenu wadau.
Matumaini yangu muwazima wa afya, ngoja nizungumze kidogo na vijana wenzangu hasa wenye mpango wa kuoa na bado hawajui pakuanzia kutokana na changa moto ya yupi mke bora.
Je mke bora ni nini wanajiuliza:
1.Tabia.
2.Uzuri.
3.Elimu.
4.Kipato.
5.Kabila.
Haya maswali ya vijana wengi, mimi ni mmoja wa niliyekuwa na nawazo hayo baada ya kula ujana na kuruka ruka kuna siku nikapata jibu kuwa niige mfano kwa mama je mama yangu alikuwa mke wa namna gani kwani kanilea vema,
Itaendelea.