Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za masiku. Ni mara ya tatu narudi kwenye jukwaa kwa sababu ile ile.Nipo tayari na nimejiandaa kuwa mume bora.Nina imani humu nitampata mke bora wa maisha yangu. Aliyetayari kuwa mke bora...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari na heri ya mwaka mpya ndugu zangu. Mimi ni mwanaume wa miaka 27 now,nipo Moshi mjini Msaranga.Elimu bachelor degree of banking and finance,mchaga wa Oldi moshi,mkristo safi Lutherani,mrefu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari, wanaume mje tusemezane.... hivi ukifa leo umeiandaa vipi familia kukabiliana na maisha? na kama una watoto wadogo ambao wanakutegemea umeandaa vipi maisha ya watoto mara utakapotoweka...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Mimi nipo Chuo kikuu mwaka wa tatu kuna msichana nilikuwa nataka kupiga na kusepa. Ila nkakuta ana mambo adimu nikawa nimenasa kwake nikashindwa kutoka Ofcause ni mzuri na anatabia nzuri...
1 Reactions
89 Replies
12K Views
Ukishajijua wewe ni mchepuko hutakiwi kuwa na wivu hata kidogo, tambua umepewa hisani tu! Mambo ya kumfuatilia mtu wakati ushajua ana mtu wake wa permanent ya nini! Unampigia simu usiku wa manane...
6 Reactions
38 Replies
6K Views
Habar zenu wandugu wote humu! Nakuja namna hii. Wasomi wawili wa shahada ya pili Udsm, sasa ni wa ajiriwa. Watu hawa wamekuwa wapenz tangu darasani, wakishirikiana kwa hili na lile hadi walipo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mawasiliano wazi vikiwemo vicheko na utani ni mambo ya muhimu sana katika mapenzi. Na utani mara nyingi huishia katika vicheko jambo ambalo ni jema si kiafya tu bali pia katika uhai na afya ya...
3 Reactions
44 Replies
15K Views
Wana Jamii Forums, hebu nipeni uzoefu wenu, ikitokea kuwa unampenda sana mke wako na ndugu zako wewe mwanaume almost wote, kuanzia wazazi, wadada, kaka, wajomba, mashangazi wote hawampendi mke...
1 Reactions
94 Replies
13K Views
Msaada tunaomba ushauri. Wifi yangu anaota akifanya mapenzi kila siku na maumbile tofauti, leo kubwa kesho dogo, usiku wa leo kaota anado na mwanaume mpana sana hadi tumbo linauma kwa chini...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wana Jamii Forums.Nikijiulza kwanini wanaume wa kiislamu wamekatazwa kuvaa dhahabu na wanawake wamehimizwa kuvaa dhahabu. Mtaalam 1 akaniambia dhahabu inachochea homon X ambayo ni ya kike...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Nakaribisha PM kwa mdada mwenye nia ya dhati ya kuolewa. Sifa awe mkristou umri wake usizidi miaka 29. Mwenye mtoto 1 ruksa,asiwe mnene na asiwe mweusi,awe anajua kusoma na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana Jamii forums. Natafuta mume wa kuishi nae.Awe kati ya miaka 32 hadi 35.Awe mkristo nimeajiriwa Serikalini na Nina mtoto mmoja.umri wangu ni Milka 29,Elimu yangu ni shahada ya...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Salaam wana MMU. Ni jambo nimeliona tujadiliane ili kama kuna sehemu wazazi huwa tunakosea, tujisahihishe.Watoto wawili wa kiume ana umri wa miaka mitano na wa kike miaka minne walikuwa wanatania...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
  • Closed
Aisee asikwambie mtu, mi ni mroho wa shape za kibantu zilizojaaliwa kalio la kutosha kumtoa nyoka pangoni. Sikosi kugeuka nikiona sampuli ya hivyo ikipita nasindikiza kwa macho hadi anakoishia ama...
0 Reactions
90 Replies
13K Views
Miss Colombia crowned Miss Universe; Miss USA runner-up MY TAKE: ..Huyo demu wa colombia (Paulina Vega)ni wa ukweli hakika.....hawa majaji si magumashi kama wa kibongo wanaohongwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
http://youtu.be/e9crPvfcEy4
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndiyo hiyo!
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Enjoy ni mazito lakini yanaitaji. Uvumilivu
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Ni kitabu cha aina yake kinachoangazia changamoto za kizazi hiki kuhusu ndoa na mahusiano, hakuna aliyekisoma akajuta.Umewahi kukiona au kukisoma. Angalia hapa chini.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…