Sijui ingekuwaje?

Sijui ingekuwaje?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari zenu wanajamii forum,natumai ni wazima.

Leo nimekaa nikawa nafikiria sana maisha ya mahusiano,ghafla hii kitu ikanijia kichwa kwamba hivi maisha bila kuwa ugonjwa wa UKIMWI yangekuwaje.

Nimewaza sana wanajamii na kujiuliza hivi kuna UKIMWI watu wanachepuka vibaya mno ngono inapendwa sana je usingekuwepo,but tujadili swala hili maisha bila UKIMWI yangekuwaje.
 
maisha yange kuwa mabaya sana.unajua kiuchumi na kijamii ukimwi ni muhimu uwepo.
 
Habari zenu wanajamii forum,natumai ni wazima
Leo nimekaa nikawa nafikiria sana maisha ya mahusiano,ghafla hii kitu ikanijia kichwa kwamba HIVI MAISHA BILA KUWEPO KWA UGONJWA WA UKIMWI YANGEKUWAJE????????nimewaza sana wanajamii na kujiuliza HIVI KUNA UKIMWI WATU WANACHEPUKA VIBAYA MNO ngono inapendwa sana je usingekuwepo??????KIBINAFSI NINGEKUWA NA MICHEPUUUUUUUUUUKOOOOOOOOOOOO HATAREEEEEEEEEEEEEE ILA UKIMWI TU NDIO UNANITISHIA,but tujadili swala hili maisha bila ukimwi yangekuwaje????????

Unasema bila ukimwi ungezini sana mabinti wa watu sio? Akili yako ndio imekuambia huo ndio ujanja sio?
 
JIULIZE zamani ilikuwaje, maana ukimwi umekuja miaka ya 1987 kama sikosei, kwani huko nyuma walikuwa hachepuki???????? unazani neno Hawara lilianzaje??????? jiongeze nawe
 
Duuh, fikra duni kweli. UKIMWI & HIV si tatizo, tatizo kubwa ni UMASKINI. mbona ktk nchi zilizoendelea mpaka watu wanakata leseni na HIV haiwasumbui.
 
ingekuwa kawaida sana, sana hata tusingejiuliza kama ungekuwepo ingekuwaje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom