Namna ya Kula embe dodo lililoiva.

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,836
Leo nataka kushirikiana na wana JF kuhusu namna ya kula embe dodo vizuri.

Kwanza tambua kuwa ili uweze kulila embe lazima uliandae kwanza. Likiwa kwenye mti lazima uende ukalichume -liangalie kama limeiva vizuri au limeharibika.
-Andaa kinywa chako na meno vizuri (sukutua meno na kinywa ) kwaajiri ya kula embe dodo.
-Kamahilo embe limeiva basi lioshe vizuri tena taratibu bila kutumia nguvu maana unaweza ukalibonyeza.
-Kama unanjaa sana usiwe mlafi punguza presha turia kidogo
-Tumia ulimi na midomo yako kulilainisha.
-Toa maganda yake kwa kutumia meno, ulimi na midomo yako.
-Limenye taratibu bila papara si unajua tena embe dodo usipotumia kisu na ukatumia meno unaweza chafua nguo.
-Andaa sahani iliyosaafi laza embe lako pale.
-Zima taa za umeme washa mshumaa weka mziki kwa mbali (embe ndodo embe dodo limelala mchangani)
-Chukua chunvi tia taratibu kwenye kokwa lake kwa kutumia ulimi wako.
_Kula taratibu embe lako bila haraka.

Hapo sawa JF?
 
hizo komenti 2 tu nimecheka zikiendelea sidhani mtoa mada ata logout
 
hizo komenti 2 tu nimecheka zikiendelea sidhani mtoa mada ata logout

Tatizo lako moja tu. Akili zako zimekaa kishari shari. Sisi tuko Tanzania bwana nchi ya amani na upendo.
 
Tatizo lako moja tu. Akili zako zimekaa kishari shari. Sisi tuko Tanzania bwana nchi ya amani na upendo.
kama hujaelewa niulize kuliko kunikashfu ntake radhi ndugu yangu mimi sijamaanisha baya lolote
 
kama hujaelewa niulize kuliko kunikashfu ntake radhi ndugu yangu mimi sijamaanisha baya lolote

Samahani Amsterdam naomba niwie radhi vilevile unieleshe ulikua na maana gani?
 
Samahani Amsterdam naomba niwie radhi vilevile unieleshe ulikua na maana gani?
mimi nilicheka sana jinsi hao watu walivyoipotezea maana halisi ya hiyo post eti wa kwanza kajifanya anakujua sana
akajibu "hii yote ni furaha ya kupata mkopo wa HESLB"
nikakumbuka jana kuna jamaa aliambiwa humu jamvini anapost thread nyingi kisa hajawahi shika 300,000/=so ndio kazipata helsb maisha yake toka azaliwe nikajua du yale yale yamekukuta anaeli

Last edited by a moderator:

Dah wakuu mbona mnanifananisha na wajukuu wangu!?
 
ha ha ha ha ha, mtoa mada hatarudia tena.
Lol mmemshambulia.

Mwaya anael umetoa lekcha ya kufa mtu.
 
embe dodo embe dodo, limelala mchangani x2
kwa huba na mazoea, uwe wangu wa milele...
 
Hii ilfaa inende JF Chef!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Sina cha kucomment ila thread kama hizi siwezi kupita kimya kimya coz ndo MY BRAND, Ngoja ni show some love!!!! Na kupita. HEHEHEEIYA!!!!!! Naomba wimbo wa EMBE DODO IMELALA MCHANGANI TOKA MOMBASA SIJUI TANGA UWABURUDISHE MCHANA WA LEO!!!!!
 
Back
Top Bottom