Nipo hapa Mwananyamala tupo wapangaji kumi na sita vyumba tisa ila wengine tumebebana wasichana wapo kumi na moja na wanaume wa tano.
Cha kusikitisha kila nikimuona mdada anaenda bafuni unakuta amejifunga kanga tu bila ya taulo. hivi mnajua mathara ya kutotumia taulo.