Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini Wanajukwaa. Kama mpo mtaitikia,kikubwa hapa ninachotaka kuzungumzia ni hizi promise za uongo. Unakuta mtu unatoa promise ambayo moyoni mwako unajua kabisa huwezi ukaitimiza, then siku...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Juzi nilileta taarifa ya mke wangu kutojua usafi na kupika dagaa kila siku nilipanga kumfungisha virago but kutokana na huruma ya wanajukwaa nimemuweka chini nmempa tuition na tume draft ratiba...
1 Reactions
81 Replies
11K Views
Ambaye upo tayari kuwa mpenzi wangu ni PM be serous with ua words nipo iringa vilevile huku ndo kwetu weka hata namba mimi nitaanza kuku text.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Don't take a woman for granted if she is giving you too much attention. Just consider yourself lucky because maybe she loves you so much that she doesn' t want anyone else to take her place in...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Dada mmoja anatoka katika familia ya watoto watano wote wanawake, yeye akiwa wa katikati kuzaliwa. Katika watoto wote watano wa familia yao wameweza kufika chuo kikuu,wote wanaajira na wote...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwakweli najiona kiumbe tofauti ama mshamba ama sijui mzee ila kikubwa ni kwamba sifurahi kuitwa dear au honey kwenye hadhara ya watu ama mara kwa mara kwenye meseji. Hata nikisikia watu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu zangu nafurahi kuona tupo pamoja. Tangu Juma tano nikiwa na jamaa zangu watu wanazunguzia maambukizi ya HIV nikiingia jamii forums nikakutana na masimulizi ya namna hiyo hiyo hadi hii leo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wewe ni mwanaume unaishi na mwanamke. Una mtoto mchanga ambaye anategemea maziwa ya mama yake Kama jibu ni ndio basi nakupa tahadhari hii hapa chini. 1. Tafuta maziwa...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Poleni kwa majukumu. Nisipoteze muda,hivi wadada kwa nini.mnajipodoa.Napata maswal menngi kuhusu mwanamke kujipodoa,Je ni kwa ajili ya kuwavutia wanaume. Je ni usafi na umaridadi tu au...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mambo vipi wadau wa Love Connect. Mimi ninaitwa Mlossy Junior ninatafuta Mchumba kwani nimechoka maisha ya upweke. Elimu yangu,nina Degree ya kwanza na ni muajiriwa.Ninaishi Dar,kwa aliye tayari...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna siku huwa nakua na mood mbaya,nahisi kuwa na hasira sana,na najisikia kupata mtu wa kumpiga ngumi ili akili yangu iridhike,what to do ili kuondoa hii problem. Seriously jamani.
5 Reactions
77 Replies
11K Views
Uzuri wa mwanamke ni tabia,sasa mbona akipita mbele za watu mnamwangalia makalio,kwani tabia iko kwenye makalio.Tushauriane hivi nyie mnaonaje. ‪
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Sio kwa wanawake wote ila hii kitu nshaiona mara nyingi sana yani mtu ukiwa na girlfriend mpaka uionje hela yake ni kazi, ila ni rahisi sana kwa mwanamke kuionja hela ya boyfriend wake,exceptions...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Kama headline inavyosema, natafuta mwanamke wa kufarahi nae, gharama za outing ni juu yangu.Sifa zake,awe mzuri wa sura na umbo/awe Arusha. Kama uko serious ni Pm. Asanteni.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hamjambo marafiki,natafuta mchumba kuanzia miaka 20-25 Sifa awe mkristo mcha Mungu(msabato atapewa kipaumbele) mwenye elimu kuanzia diploma na kuendelea. Mrefu wastani .
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hamjambo marafiki,natafuta mchumba kuanzia umri wa miaka 20-25 sifa Awe mkristo mcha Mungu(msabato atapewa kipaumbele) Awe na elimu ya diploma na kuendelea. Mrefu wastani na mwonekano wenye...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Hamjambo marafiki,natafuta mchumba kuanzia miaka 20-25 Sifa awe mkristo mcha Mungu(msabato atapewa kipaumbele) mwenye elimu kuanzia diploma na kuendelea. Mrefu wastani . Iwapo una vigezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nani mwoga? Mama kwa Baba Jane VS baba na housegirl Mume na mke wanabishana kuwa kati yao nani mwoga. Mume:Hebu tumuulize mtoto aseme ukweli nani muoga kati yetu. Mtoto:Mama sio muoga...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa heshima kubwa najitokeza hapa kutafuta mwanamke ambae nae mwenye uhitaji mkubwa kwa mume, umri wangu ni kati ya miaka 43 na 48. Naomba yule mwanamke mwenye uhitaji wa mume. Tuwasiliane kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Zamani kabla sijawa na familia mamangu ndo alikuwa furaha yangu yaani ilikuwa nikimpigia simu najisikia furaha sana baada ya kuwa na familia yangu nafarijika sana nikiongea na mtoto wangu wa...
3 Reactions
147 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…