Mke wa pili sikai wa tatu ntakaa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa pili sikai wa tatu ntakaa!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Asabaya, Sep 16, 2012.

 1. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ndugu wanaa MMU,
  Leo nna jambo linanichokoa roho kupita kiyasi na limeninyima usingizi kwa kiasi flani.
  Naana mdogo wangu ameolewa nchi za nje na amebahatika kupata watoto 4 mumewe nimfanya biashara
  hakuna asichopewa mdogo wangu na mumewe tatizo limekuja pale mume alipoongeze mke wa pili,
  hataki anataka talaka yake au mumewe aongeze mke wa tatu ili yule wa pili aone joto kama analoona yeye,
  kwaupande wangu kama dada nimemfahamisha kua hiyo sio dawa yakumkomoa mke mwenzio bali ningekua mimi
  ningekomaa nae huyo mke mdogo mpaka kikaeleweka.
  Jee waungwana nimekosea kumueleza hayo? manake ananambia wewe unaona rahisi tuu sababu hayaja kukuta.
  nimeona nije tena hapa kwenye wengi yupo japo mmoja ataweza kunipa jawabu la hekma.....
  kwakweli inaniuma nataka kumsaidia mdogo wangu....
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,345
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Yaani ukweli umwambie avumilie ingawaje kweli roho lzm iume ndy maana mke zaidi ya mmoja ni mbaya.Bora angefanya siri lakini kumweka ndani ni lzm mume aage anakwenda kwa bi mdogo huyu mkubwa akijua.Avumilie lakini ngumu ht wewe unajua vzr.
   
 3. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa sijawazia hili...kumbe mke wa kwanza na wa tatu huwaga ni marafiki eeh. Wa tatu anakuwa amesaidia kumkomesha mbaya wa mke wa kwanza (second wife). Lol.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Women!
  Ngoja nilale labda nikiamka nitakuwa na akili!
   
 5. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwambie atulie aache uhuni na kelele. Kwani wakati anaolewa alikuwa hajui kuwa dini inaruhusu mume akijisikia kutaka mpya anasajili kwa raha zake?
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mmh, sasa mzunguko si utakuwa mrefu sana?
  Bora hao hao wawili, itakuwa mara 3 kwa wiki, wakiwa watatu itakuwa mara 2 kwa wiki.

  Hapa mme anachukuliwa kama mashine isiyochoka wala kukosa hamu, duh!
   
 7. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hongera sana kwa shemeji yako kuongeza mke wa pili.

  Hakuna cha kumsaidia zaidi ya kumwabia atulizane tu na mme wake, na akubali kama mme wake kisha owa mke mwingine hakuna jipya tena.
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  movie nyingi za kinigeria huwa naona mke wa kwanza na wa pili wanaungana kumkomoa kwa tatu, sijui nazo zina ukweli??

  Halafu ukiona wake wenza wanapatana mme akae macho, huwa wana lao jambo tena baya sana.

   
 9. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Kama wa kwanza na wa pili wanaelewana ni obvious wa tatu atakuwa enemy wao wote; tatizo ni pale wa kwanza anapokuwa na bifu la kudumu na wa pili...akiongezwa wa tatu kwake ni sherehe...kwani mbaya wake nae amepata wa kumzidi...maana tukubali tukatae ni more likely kuwa kipya ndo kinyemi...ukisha kuwa replaced huna thamani ile ile.

  Ndo hapo wa kwanza anamcheka wa pili; kuwa nae zamu yake ya kuumia imefika.


   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Hapo nilipobold, alichofanya ni maamuzi ya hasira bila kuzingatia matokeo na athari yake! Mkumbushe mdogo wako kuwa mumewe akiongeza mke wa tatu, hamkomeshi mke wa pili bali wanaendelea kujiingiza kwenye mtandao mkubwa zaidi wa magonjwa. Fikiria, wanawake watatu kuolewa na mume mmoja, je kutakuwa na uaminifu kweli hapo?
  Ulichomshauri nafikiri haujakosea.
   
 11. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Ushauri wako uko sawa kabisa. Mwambie atulizane, muda ni daktari mkubwa hasa mtu unapoamua kukubaliana na hali hlisi.
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  wanawake bwana, badala ya kumkomesha huyo mwanaume mnakomeshana wenyeqe kwa wenyewe ili iweje? Mie ningekuwa mke mkubwa ningehakikisha nakomba mpunga wa kutosha nawekeza na kujirusha stress za nini wakati kuna watu kibao wenye uwezo wa kukupa raha ambazo mumeo anazigawa kwa wake wadogo?
   
 13. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,345
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Dawa wote wawe.:mimba:
   
 14. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Mwambie atizame lake tu...awapatie watoto malezi mema ya baba na mama mana tukiwaendekeza wanaume tutakufa siku si zetu..kheir ameoa kuliko kuwa na girls nje

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 15. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Hahahaha umenchekesha..wakiwa na mimba si hasira ndo zitawazidi..hapo shuzi litapata mjambaji lol

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 16. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #16
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Kupata mke mwenza inauma jamani..but na sie wanawake tunakua maselfish hatutaki wanawake wenzetu wastirike...ila tabu inakuja huyo anaekuja anakuja na vishindo tafran

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 17. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  I BEG TO DIFFER!please!
   
 18. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nimejaribu kufahamisha..
   
 19. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Mambo mwengine yanaumiza roho khasa,mwambie avumilie huyo mke wa pili sio mgomvi wake na hata akiolewa wa 3 pia
  haitokua dawa sababu hujui huyo mke wa 2 anampenda mumeo kweli au kaja kimaslahi...
   
 20. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Dah Jamaa anawakusanya, hapo mpaka wafike wanne.....!!
  Kumbe wanawake wanapenda kuchangia ile kitu eeeeeh......!!!
  Aaaaaiseeeeeee............!!!
   
Loading...