Kuna dada ambaye nipo nae kwenye mahusiano huu mwaka wa tatu sasa, lakini amekuwa akinifanyia vitendo vya ajabu sana na tulishafikia uamuzi wa kutengana mara kibao ila baadae tunarudiana lakini...
Wakuu.
Nimeona maadili ya watu yanazidi kuporomoka kwa kasi sana hasa humu MMU. Mbaya zaidi, haya maadili mabaya ambayo yanaibuka kwenye mitandao kama Jamii forums yanasambaa kwa kasi ya ajabu...
Ndugu zangu.
Unahitaji kulitafakari jambo lolote kwa kina kabla ya kuliendea. kwani kwakufanya hivi kunauwezekano mkubwa usije kujutia baadae. Ingawaje ziko sababu zinazo wezakujitokeza ukiwa on...
Habari wapendwa.
Kuna jambo nimekutana nalo linaniumiza sana kuhusu hawa watumishi wa MUNGU, Nina rafiki yangu ambaye yeye ni mchungaji wa kanisa la kiroho hapa jijini DAR, binafsi mimi sio...
Tunafanya naye kazi pamoja sasa wiki iliyopita yaani Jumatatu ya hiyo wiki, alinialika lunch kwenye hoteli ambayo ndiyo huwa tunakula lunch hapo.
Wiki nzima ananialika tukishakula nikitaka kulipa...
Kuna tabia ya kununuliana zawadi miongoni mwa wana ndoa,je iwapo umempelekea mkeo nguo za ndani halafu kwa bahati mbaya zisimtoshe.
Jee huleta ghadhabu ya kiwango gani na je ikiwa kinyume chake...
Cameron Todd Willingham.
Willingham akiwa gerezani kusubiri kunyongwa...............
Nyumba ya Willingham ikiteketea kwa moto huku wanae watatu wakiwa ndani ya nyumba hiyo....
Ilikuwa...
Mke wangu alitoroka nyumbani na kuniachia watoto wawili, alitoroka usiku mimi nikiwa kwenye kibanda umiza naangalia mpira wa kombe la Afrika.
Mechi ilipoisha nikarundi home nikakuta mke wangu...
Dear friends,
Nimelea mdogo wangu wa kike mpaka kaolewa sasa umri 28.Akiwa na miaka 21 alibeba mimba ya mvulana ambae alipomwambia alijibu hana la kufanya na hiyo mimba, wote walikuwa wanatakiwa...
Juzi nilikuwa mahali nasubiri usafiri, nikakutana na binti mmoja ambaye anaonekana kuwa na umri kama miaka 20-23 hivi. Kwa nje anaonekana mzuri sana na mwenye umbo la kuvutia.
Alikaa kwenye meza...
She is 20+ and I'm 25yrs old, the love i feel for her is real, lakini kwa bahati mbaya nashindwa kumwambia.
Tunawasilana sana kwa simu, ila kinachonifanya nashindwa kumwambia what i feel for...
Kwa wale waliooa au wenye kujua hili, kama ni vizuri mwanaume kukaa ukweni zaidi ya wiki, maana kuna jamaa yangu yeye likizo zote zinaishia ukweni.
Tushauriane kwa wale wanaojua hili.
Naamini mtakuwa wazima wa afya njema tangu tulipoachana hapa wiki iliyopita. Ni imani yangu kuwa somo lililopita lilikuwa zuri lililokufundisha mbinu mpya za kupalilia penzi lako.
Kama ndivyo...
Ushauri wa bure kwenu vijana munaopenda kulalamika mukiobwa hela.
Ushauri huu ni kwaajili ya vijana tu wanaotafuta wapenzi kwa ajili ya kukizi mihemko ya kimapenzi na siyo kwa ajili ya kutafuta...
Wana MMU.
Hizi ni kauli mbiu za valentine day 2015 zinatoa ujumbe gani, je ni kweli wanawake ndiyo wametoa kauli mbiu hizi au wanaume wameamua kuzitoa na kuzitawanya.Binafsi nimesikia mbili ,je...
Ndugu zangu,Miezi mitatu iliyopita nilikutana na binti mmoja mrembo sana kwenye chombo cha usafiriIlikua ni usiku,baada ya kukaa sehemu moja nikawa nime anzisha conversation ambayo mwanzoni...
Binti kazaa na jamaa mtoto,wanaishi Mikoa tofauti na umbali huo nauli ni elfu 6 tu kutoka kwa jamaa mpaka kwao na binti jamaa tangu mtoto azaliwe mpaka leo anamiezi 6 hajawai muona yaani hamjui...