Where to start unapoitwa kaka na shikamoo za kutosha

Gud guy

Member
Nov 23, 2011
18
2
She is 20+ and I'm 25yrs old, the love i feel for her is real, lakini kwa bahati mbaya nashindwa kumwambia.

Tunawasilana sana kwa simu, ila kinachonifanya nashindwa kumwambia what i feel for her ni kwa sababu ananiharibia pozi lote kwa kunipa shikamoo na kuniita kaka.

To be honest ni kwamba sijawahi kumpenda mwanamke yeyote kama huyu na nisingependa kumkosa.

But I don't know where to start, if she only c me as brother how will she take it.
 
Funika hizo shikamoo kwa salam za kikubwa na jarib kumzoesha aone kama anawasiliana na rika lake,mara nyingi hiyo ni trick ya defensive mechanism
 
sometimes wanawake tunatumia shikamoo na kaka ili kuzuia mianya ya kutongozwa, pale unapoona dalili mapeeeema kwamba jamaa kazimika hana muda atashusha sera za chama na serikali.....

Dawa ni kuvunja ukimya
ukisubiri aache kukuamkia utasubiri sana.....mwisho utaletewa kadi ya mchango wa sendoff
 
Funika hizo shikamoo kwa salam za kikubwa na jarib kumzoesha aone kama anawasiliana na rika lake,mara nyingi hiyo ni trick ya defensive mechanism
Thanks, nshawahi fikiria kumwambia ctaki shikamoo zake lakin ikaonekana inge-sound kifataki zaidi. nimekupata mkuu
 
akikuamkia,na wewe muitikie,kwani kuna ubaya gani?mjibu marahaba mtot mzuri hujambo?,flirt nae taratibu uone muelekeo wake.watu wengine kwenye ndoa wanawaamkia waume zao,sembuse wewe?
Pia since amesema wanawasiliana sana kwa sim ajaribu kuchat nae (flirty chats). It might be easier to break the ice kwa njia ya sim kuliko face to face. After two or three chats nadhani itakua rahisi kujua kama she is receptive or not...
 
sometimes wanawake tunatumia shikamoo na kaka ili kuzuia mianya ya kutongozwa, pale unapoona dalili mapeeeema kwamba jamaa kazimika hana muda atashusha sera za chama na serikali.....

Dawa ni kuvunja ukimya
ukisubiri aache kukuamkia utasubiri sana.....mwisho utaletewa kadi ya mchango wa sendoff

Tehe tehe tehe tehe
 
akikuamkia,na wewe muitikie,kwani kuna ubaya gani?mjibu marahaba mtot mzuri hujambo?,flirt nae taratibu uone muelekeo wake.watu wengine kwenye ndoa wanawaamkia waume zao,sembuse wewe?

Mshikaji anagwaya bila sababu, BELEZEEEE
 
sometimes wanawake tunatumia shikamoo na kaka ili kuzuia mianya ya kutongozwa, pale unapoona dalili mapeeeema kwamba jamaa kazimika hana muda atashusha sera za chama na serikali.....

Dawa ni kuvunja ukimya
ukisubiri aache kukuamkia utasubiri sana.....mwisho utaletewa kadi ya mchango wa sendoff

duh/////mkizungo like this,,,,,
 
Kwani hiyo shikamoo ndo inakunyima nini
Kwani ukiwa umekaa nae mahali ambapo umepapanga na baada ya hiyo shikamoo yake mkaendelea na mazungumzo yenu na ukafikia kusema lililo moyoni ni kosa
Au tuseme mdomo unakuwa mzito
Ukishapewa shikamoo aibu na hata kuongea tena huwezi unaishia kwenda zako kujisikitikia
Fanya zaidi ya hapo na badili mazingira mnayokutana naye na siku moja mtoe out
Huo ukaka na udada utaishia zake
 
Sikiliza Gud guy,sikumoja piga simu na fanya mazungumzo ifatavyo-
- Gud guy halooo!
- SHEMEJI haloo kaka shikamoo
- Gud guy marahaba dada mambo?- SHEMEJI mazuri
- Gud guy sasa dada leo kidogo utanisamehe! Maana tumekua ndugu mda sasa lakini leo ningependa ukaka na udada uishe na tuanze kuwa wapenzi,offcourse nakupenda sana nisinge penda kuwa ma-kaka na dada,samahan kama ntakukwaza.....maongezi yataendelea

vunja ukimya,ukimbelambele atatokea mwewe huko na kumpitia alafu utabaki domo wazi.Nipe feedbac
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom