Kauli mbiu valentile 2015

Kauli mbiu valentile 2015

gwahe

Senior Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
147
Reaction score
84
Wana MMU.

Hizi ni kauli mbiu za valentine day 2015 zinatoa ujumbe gani, je ni kweli wanawake ndiyo wametoa kauli mbiu hizi au wanaume wameamua kuzitoa na kuzitawanya.Binafsi nimesikia mbili ,je wewe.

1) Mapenzi pesa,maua peleka kwa nyuki na kadi peleka klinic.

2) Tumechoshwa na kadi, kutolewa out na kuvaa nguo nyekundu.Tunahitaji mwaka 2015 mtoe posa na kutoa mahari.
Kazi kwenu,toeni mahari sasa.
 
''..... yooo Mamsapu!!! Nipoze moyo mama nimechanganyika penzi lako la maana.. mapenzi si ugomvi mapenzi si uhasama, nipe penzi nikupe hapa mimi ni salamaaaa.. oo mamsap..... Ewe Zabibu....'' Joseph Haule ft Hard Blasters Crew (HBC).
 
WANA MMU,
Hizi kauli mbiu za valentile day 2015 zinatoa ujumbe gani ?? Je ni kweli wanawake ndiyo wametoa kauli mbiu hizi au wanaume wameamua kuzitoa na kuzitawanya??? Binafsi nimesikia mbili....Je wewe??

"valentile" ndo nini?
 
''..... yooo Mamsapu!!! Nipoze moyo mama nimechanganyika penzi lako la maana.. mapenzi si ugomvi mapenzi si uhasama, nipe penzi nikupe hapa mimi ni salamaaaa.. oo mamsap..... Ewe Zabibu....'' Joseph Haule ft Hard Blasters Crew (HBC).

Hahahaaa nmecheka sana lol
 
Hope i can be with my family and eat at home togther to me its more than flower and outing cos its ma culture to do that at home
 
Wana MMU.

Hizi ni kauli mbiu za valentine day 2015 zinatoa ujumbe gani, je ni kweli wanawake ndiyo wametoa kauli mbiu hizi au wanaume wameamua kuzitoa na kuzitawanya.Binafsi nimesikia mbili ,je wewe.

1) Mapenzi pesa,maua peleka kwa nyuki na kadi peleka klinic.

2) Tumechoshwa na kadi, kutolewa out na kuvaa nguo nyekundu.Tunahitaji mwaka 2015 mtoe posa na kutoa mahari.
Kazi kwenu,toeni mahari sasa.

Sorry wana MMU, Ni Valentine not valentile.....
 
''..... yooo Mamsapu!!! Nipoze moyo mama nimechanganyika penzi lako la maana.. mapenzi si ugomvi mapenzi si uhasama, nipe penzi nikupe hapa mimi ni salamaaaa.. oo mamsap..... Ewe Zabibu....'' Joseph Haule ft Hard Blasters Crew (HBC).

mh! ckutegemea wew ndo una mbwembwe hivi
 
Wana MMU.

Hizi ni kauli mbiu za valentine day 2015 zinatoa ujumbe gani, je ni kweli wanawake ndiyo wametoa kauli mbiu hizi au wanaume wameamua kuzitoa na kuzitawanya.Binafsi nimesikia mbili ,je wewe.

ila du umechoma panapo

1) Mapenzi pesa,maua peleka kwa nyuki na kadi peleka klinic.

2) Tumechoshwa na kadi, kutolewa out na kuvaa nguo nyekundu.Tunahitaji mwaka 2015 mtoe posa na kutoa mahari.
Kazi kwenu,toeni mahari sasa.

ila umechoma ndugu
 
''..... yooo Mamsapu!!! Nipoze moyo mama nimechanganyika penzi lako la maana.. mapenzi si ugomvi mapenzi si uhasama, nipe penzi nikupe hapa mimi ni salamaaaa.. oo mamsap..... Ewe Zabibu....'' Joseph Haule ft Hard Blasters Crew (HBC).

Naomba niamini kuna mtu kaiba password yako....
 
mi nimesikia hii
"hapa gegedo tu, pesa kwa baba yako"
 
Back
Top Bottom