Ushauri kwa vijana wa kiume

Ushauri kwa vijana wa kiume

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Ushauri wa bure kwenu vijana munaopenda kulalamika mukiobwa hela.

Ushauri huu ni kwaajili ya vijana tu wanaotafuta wapenzi kwa ajili ya kukizi mihemko ya kimapenzi na siyo kwa ajili ya kutafuta mchumba wakuja kufunga naye doa.

Tafuteni wakinamama wanaowazidi kiumri.
Kutokana na uchunguzi wangu nimengudua yafuatayo,
1.Wakinamana hawa wanajua sana namna ya kumhudumia mwanaume tofauti na wasichana wa umri mdogo,

2. Wakinamama hawa hawana akili yakusumbua kila siku anakuomba hela,

3. Ukibahatisha ukampata aliyeajiliwa ana uwezo hata kuwa anakupa zawadi pamoja na hela,

4. Wana ushauri mzuri sana hasa katika maswala ya kimaendeleo kwa sababu wanayajua maisha.

Hawa wasichana tuwaacheni wasome!!! maana ndiyo taifa la kesho.

Jamiiforums ina watu wengi sana nadhani kuna watu humu yashawai kuwatokea, munaweza mkaprove na kuongeza point.
kuhusiana na hili.
 
Hapo uliposema zawadi umemaanisha nn mkuu🙁
 
Hayo yote mateso,kwanini uwe na mmama wa watu am aye humwoi?wapo girls wenye future hawana mizinga,wakuchuna ni vicheche tu wauzaji,mbabe anayejielewa hana hayo
 
huu sio ushauri bali unahamasisha umarioo
 
mku hali bado mbaya mijimama yenyewe siku imestuka
hela inatolewa kutokana na magoli utakayo fungal kiwanjani....
kwa hiyo vijana tumegeuzwa masex machines ...
 
Amakweli uvivu ni adui mkubwa wa maendeleo. Nahisi watoto wa kiume wanaongezeka ilhali wanaume wanapungua.
 
Hii hatari kijana mwenye nguvu unaplan kupiga mizinga badala ya kuplan namna kutafuta vyanzo vya kukuingizia pesa.

Hivi hamuon kama ni utumwa sana kila siku uwe mtu wa kutegemea misaada?

Nyambaaaaaaaaf.
 
Hakuna ushauri mzuri aliouchukia mungu, mungu amechukia zinaa wewe ndi unatuhamasisha
 
Back
Top Bottom