nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,091
- 15,206
Kuna tabia ya kununuliana zawadi miongoni mwa wana ndoa,je iwapo umempelekea mkeo nguo za ndani halafu kwa bahati mbaya zisimtoshe.
Jee huleta ghadhabu ya kiwango gani na je ikiwa kinyume chake, yaani mke akileta nguo za ndani saizi tofauti kabisa je nimfikirieje.
Jee huleta ghadhabu ya kiwango gani na je ikiwa kinyume chake, yaani mke akileta nguo za ndani saizi tofauti kabisa je nimfikirieje.