Usiku wa jana sijalala, nimekesha ninalia

Usiku wa jana sijalala, nimekesha ninalia

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,856
Mke wangu alitoroka nyumbani na kuniachia watoto wawili, alitoroka usiku mimi nikiwa kwenye kibanda umiza naangalia mpira wa kombe la Afrika.

Mechi ilipoisha nikarundi home nikakuta mke wangu amewafungia watoto na kubeba vyombo vyake vyote alivyopewa na ndugu zake kama zawadi.

Nilipigwa na bumbuwazi na kuendelea kujipa matumaini kwamba wanawake wa kileo labda na yeye amekwenda kuangalia mechi kama kilipizo cha mimi kupenda kwenda kuangalia mechi kwenye vibanda.

Nilisubiri bila mafanikio hadi nilipochukua maamuzi ya watoto kuwapeleka kwa wazee usiku huo, maana familia yao ipo karibu na yangu

Niliwapaleka watoto ili nimtafute usiku huo lakini hata hivyo sikufanikiwa kumpata hadi kesho yake nilipopata taarifa kwamba ametoroka na kweda kwao.

Siku ya jana niliamua kwenda kumfuata sababu nampenda sana mke wangu, nilipofika tu, kumbe mke wangu amepeleka habari za uongo kwamba kila siku humwambia kwamba "baba yake ametajirika na kupata kitambi kwa sababu ya mali zangu za mahari".

1/2 pages==>
 
2/2

Nilijaribu kujitetea kwa babu yake bila mafanikio yoyote, na babu akaniambia ninatakiwa nimsubiri mzee,kwa kuwa ukweni ikanibidi niwe mpole na kujipa moyo kwamba nikilala hapa si nitaenda kulala na mke wangu nitagegeda vya kutosha usiku wa leo.

Kweli niliendelea kusubiri na mida ya saa moja jioni mzee alikuja.
Tukasalimiana vizuri akaletewa vyakula akala nikasubiri kwamba akimaliza kula nitamwambia madai yangu kuhusu kumfuata mwezangu.

Alipomaliza shughuli zote nikamweleza akadai kwamba nirudi nyumbani niwafuate wazazi wangu.

Kiilichonifanya nikalia pale nilipoambiwa kwenda kulala kwenye chumba ya vijana wakati nilikuwa na maandalizi yakugegeda. Nimelia sana usiku wa jana. Nampenda sana huyu mwanamke.

Yaani mimi nikalazwe tofauti na mke wangu.

2/2
 
2/2

Nilijaribu kujitetea kwa babu yake bila mafanikio yoyote, na babu akaniambia ninatakiwa nimsubiri mzee,
kwa kuwa ukweni ikanibidi niwe mpole. na kujipa moyo kwamba nikilala hapa si nitaenda kulala na mke wangu nitagegeda vyakutosha usiku wa leo.

kweli niliendelea kusubiri na mida ya saa moja jioni mzee alikuja.
tukasaliamana vizuri aleletewa vyakula akala nikasubiri kwamba akimaliza kula nitamwambia madai yangu kuhusu kumfata mwezangu.

alipomaliza shughuli zote nikamweleza akadai kwamba nirundi nyumbani niwafate wazazi wangu.

kilichonifanya nikalia pale nilipoabiwa kwenda kulala kwenye chumba ya vijana wakati nilikuwa na maandalizi yakugegeda. nimelia sana usiku wa jana. nampenda sana huyu mwanamke.

yaan mimi nikalazwe tofauti na mke wangu

2/2

Ungeng'ang'ana kwa mama mkwe..............
 
Labda kweli unamnyanyasa, hawezi kwenda kwao from no way aanze kujieleza kuwa " Unamsema eti baba yake kaota kitambi kwa ajili ya mahari yako" Acha kabisa na ukome kumsimanga mkeo.
 
Ha ha ha aah!!
Mkuu unawaza kugegeda badala ya matatizo!! Ungeangua kilio mbeke ya Baba Mkwe na kuomba ulale chumba cha mabinti! Ungeruhusiwa ukamgegede mkeo!
 
Back
Top Bottom