Kweli hali si shwari mkoani Tanga baada ya matokeo ya form 4 ni shida kuona mkoa huu unazid kuwa nyuma ukiuliza eti ni haya mahaba niuwe ama kweli hii ni shiida.
kwa mkoa huu kuitwa Jiji ikiwa...
Picha zikionesha nje na ndani ya chumba alichofungiwa Zhang.Siku za nyuma kulikuwa na story ambazo tuliwahi kuzisikia ama watu wazima wanaweza kukumbuka enzi hizo wazazi wanakuchambulia mchumba au...
Ben Ihegboro and Angela Ihegboro with their daughter
When Angela Ihegboro first saw her newborn daughter, she was "speechless."
"She's a miracle baby," the 35-year-old...
Kwanini hili jambo silisikii popote, kwamba kaka mtu kamchukua dada mtu au mdogo mtu na mdogo wa huyo kaka kamchukua ndugu wa damu wa mke wa kaka yake. Je kuna madhara ki biolojia ama.
Utasikia...
Nimedumu na mwanamke kwa miaka 8 katika mahusiano, najisifia sababu nimembadili tabia zake ambazo zilikuwa sio nzuri mfano kunywa pombe.
Lakini kwa sasa kaanza kuniambia kwanini sitaki kumpatia...
As a society, we've become used to May to September relationships - just look at Madonna and her latest backing dancer; Michael Douglas and Catherine Zeta-Jones and their 25-year age gap. No...
Wanajamii amani iwe kwenu.
Niliwahi kuleta hii mada hapa jamvini kuomba na ushauri kwenu Nimfanyeje huyu ndugu yangu?
Sasa mrejesho ni huu.Kama wiki mbili hivi zimepita jilirejea Dar es Salaam...
Nawasalimu wote.
Bila kupoteza mda, kwanza kabisa sijawahi kuwa na hisia nilizo nazo sasa tangu nizaliwe. Hakika nimekuwa na hisia za ajabu na huyu mwanamke wa kizanaki. Kusema kweli machoni...
Habari zenu wanajamvi.
Jamani inasikitisha sana, pale binti anapoamua kutafuta mazingira tu na kuamua kumkalia uchi kwa makusudi kabisa mume wa mtu kwa lengo la kumpata, mkasa huu umetokea nyumba...
Jana tulikua na kamjadala karefu kidogo kuhusu hawa wandugu kitu gani wanataka ili watulie ndoani. Nami nimeyachuja, nikaongeza na tu chumvi kidogo ili kunogesha. haya si maneno yangu. Ni...
Eti ni mpenzi wangu lakini mpaka nimtafute mimi na nikimpata majibu mafupi yes/no marefu,dah Mungu anisaidie nifute kumbukumbu zake zote hata nikimwona ubongo usitambue wala kushtuka.
Kuwa na wingi wa wasichana/wavulana au wanawake/wanaume kwenye mahusiano, haisaidii kupata mtu anayefaa au unayempenda zaidi.
Bali ni kujichosha kisaikolojia na kikubwa zaidi kukutana na...
Hellow.
Natafuta marafiki wa kike wenye interest na kuchat na ambao wako tayari kushare hata mambo serious ya kimaisha ikibidi,tupia namba yako hapa,miaka kuanzia 18-24.
Kama mnavyojua mchumbe sio mke au mume,naomba kufahamishwa hasara za kumsomesha mchumba au kuwekeza pesa nyingi sana kwake.
Je ni hatari au ni sahihi maana mambo yakiaribika ukisalitiwa unaanza...
Waungwana nimeamua kuoa na kuanza maisha ya ndoa,hii tabia ya kusema bado hapana.Ajitokeze tu mwalimu wa sekondari nikamilishe taratibu za kwenda kwao.Umri awe na 23-26.
PM ihusike katika hili...
Wanajamii wenzangu kuna huyu jamaa ananitatiza nisaidieni please.Huyu mwanaume tulipendana kama miaka tisa ya nyuma tukapotezana kwa muda tulopokutana akasema anahitaji kunioa.
Mimi kwakuwa...