Huntsman
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 648
- 621
Wanajamii amani iwe kwenu.
Niliwahi kuleta hii mada hapa jamvini kuomba na ushauri kwenu Nimfanyeje huyu ndugu yangu?
Sasa mrejesho ni huu.Kama wiki mbili hivi zimepita jilirejea Dar es Salaam kutokea nilikokuwa na nikamtumia ujumbe kuwa naenda kwa mkuu wake wa kikosi.
Basi jioni yake nikamuona kwangu amekuja na ndugu zetu ambao kabla ya hapo alikuwa hataki tuongee na mimi nikamsisitiza kuwa msimamo wangu ni huo huo sibadilishi.
Basi alivyoona hivyo tukaandikiana maelezo hadi kwa mjumbe na kila wiki analeta kiasi cha pesa tulichokubaliana mpaka Deni liishe. Nawashukuru wote kwa ushauri wenu na nawaasa wengine kuwa tuwe makini na ndugu au watu tunaowaamini.
Asanteni kwa ushauri wenu wote natumia mobile siwezi kuwa mention wote.