Je, Nikimrudia msichana wangu nitadharaulika?

Blandes

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
401
228
Nimedumu na mwanamke kwa miaka 8 katika mahusiano, najisifia sababu nimembadili tabia zake ambazo zilikuwa sio nzuri mfano kunywa pombe.

Lakini kwa sasa kaanza kuniambia kwanini sitaki kumpatia hela, alafu kaanza umalaya wa chini kwa chini, message za mapenzi nimezidaka na nimeamua kumwambia kila mtu achukue time yake, ila kwa sasa naona kama roho inauma cause bado nampenda ila naogopa ukimwi, nifanyeje?

Ushauri tafadhali.


 
huyo ni nani...? maana yaonyesha roho inakuuma baada kujua kuwa umempotezea muda...
 
Sasa kama wewe mwenyewe umeona hakufai ukamwacha tatizo nini? HUNA UNDUGU naye. Iyo roho iache iume itapoa tu, ni kama chai ikimiminwa inakuwa ya moto, give it time itapoa tu.
 
Miaka 8 bila ata zile adisi za engagement keshaona apa sipo mwenzio kaona bora atest the difference labda akapata aliye tayari kuitwa mume maana we umeridhika na jina lako La boyfriand.
 
Yaani wewe ukiona mwanamke ameacha tabia fulani alafu gafla akairudia jua ndio mazima alafu kama anaanza kuzungumzia masuala ya pesa pesa kwa kila mara ujue apo anatafuta sababu ya kuachana na wewe............na siku zote mwanamke huwa akianza umalaya ni mpaka ukimwi anabeba maana anakuwa anagawa kama hana akili vizuri na ukiona hivyo ujue amejitoa muhanga..........kuwa makini utakuja jutia maishani mwako........take if from me
 
Mzee kama hakupend chanja mbuga...kukubali kupokea maumivu ambayo unaweza kuyakwepa ni ujinga... usikumbatie miba
 
tumia condom tu l... miaka nane mlikuwa mmezoeana tu

kwahiyo kondomu ndio itakuwa suruhisho? miaka nane na saivi arudi alikoanzia yaan atumie kondomu? au u serious Miss Chagga? apo ni mwendo wa yeye kuamua either kusuka au kunyoa,,,,,,,,,,,maaana ngoma atainyaka fasta kuliko maelezo
 
kwahiyo kondomu ndio itakuwa suruhisho? miaka nane na saivi arudi alikoanzia yaan atumie kondomu? au u serious Miss Chagga? apo ni mwendo wa yeye kuamua either kusuka au kunyoa,,,,,,,,,,,maaana ngoma atainyaka fasta kuliko maelezo

Ha ha ha lazima ajue anataka nini ? Kama hajui atumie condom .. Kuna mambo ya kuomba ushauri bana demu akianza dharau jua kapata wa kumuheshimu chapa lapa au tumia condom
 
Watu huambukizana miwaya hivihivi kiutanutani,ifanye iwe historia songs mbele mkuu,lakini tabia ya kukaa na mwanamke 8yrs siyo mpango mkuu...
 
Back
Top Bottom