Mpaka mimi nimtafute si nimeshaachwa hapo?

Mpaka mimi nimtafute si nimeshaachwa hapo?

nadhani hanipendi kweli. ila kwanini asiniambie tu ukweli umechuja mama SIKUTAKI...
 
na wewe utakuwa ulikuwa unampiga mizinga sana...ameshituka
 
Mh nayakubali majibu yenu ila ukweli unauma sana. It was one of the tuition towards the real class.
 
no sikumpa
Sista, wengine hawataki kukupa stress za kupigwa kibuti, ujue kimya nacho ni jibu tosha.
...Haya, sasa uanze upya...kaa ujitathimini wapi una mapungufu. Then omba/sali sana Mungu akupatie mume na sio watu wa kumalizia nyege zako.
 
Sawa nimeelewa.
 
Pole sn mama,me naona aibu mwanamke kuanza yy kunitafuta.Hivyo huwa nipo tayar hata nitume tafadhari nipigie ili ajue nipo kwake daima.
NJO KWANGU NITAKUHESHIMU NA KUKUJALI DAIMA
 
hata sh. kumi sijawahi omba jamani...wanaume bwana...angesema nimechuja tu nifanye yangu.

hahahaaaa...sema wanaume wengine bwana...sasa hujui kama "action speaks louder than words?" angekwambia ungeweza kuhisi anatania. Akufukuzaye hakwambii toka. Sasa utoke. Anakuonaje kero sasa na hivyo vimesej vyako kaa gazeti? yeye ni YES/NO tu. Pole mama. Tulia ujipange upya.
 
Back
Top Bottom