Mabinti acheni kuwakalia uchi waume za watu

Mabinti acheni kuwakalia uchi waume za watu

Tamalisa

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
2,542
Reaction score
907
Habari zenu wanajamvi.

Jamani inasikitisha sana, pale binti anapoamua kutafuta mazingira tu na kuamua kumkalia uchi kwa makusudi kabisa mume wa mtu kwa lengo la kumpata, mkasa huu umetokea nyumba ninayoishi, kuna wapangaji vyumba vyao vipo karibu karibu, huyu mmoja ana msichana wa kazi, mwingine hana.

Huyu binti katafuta mazingira na kumkalia yule jamaa uchi kilichotokea ni yule jamaa kujikuta anaanza kumfuatilia msichana, na hali ukizingatia hakua hata na wazo na huyo dada na ni muda mrefu wanaishi hapo, kumbe dada na namba ya simu alishatafuta si ndo kuanza kuchati nae oh mpenzi sijui nini na nini.

Kindumbwe ndumbwe juzi wife wa jamaa kaona message, hapajakalika ugomvi na nyumba nzima wamejua. Jamaa akajitetea, ''Yaani mke wangu wala siko hivyo, na wala sina wazo na huyu mjinga, ila juzi tu nipo hapo uwani nafua nguo zangu si ndo akanikalia uchi, then badae ananitumia message tukachati, na wala sijui namba zangu kapata wapi''.

Aibu ndo hivyo tena!

Jamani mabinti acheni sio vizuri kumbuka hata na wewe utakuja olewa, kama unaona mwanaume haonyeshi muda na wewe muache na sio kumfanyia visa. Hawa viumbe 98% ni wadhaifu sana, Paja tu hoi, na nyie wanaume ukiona binti anakukalia uchi kama umetazama kwa bahati mbaya basi usigeuke tena potezea, hata binti atakuona una msimamo.

Asante kwa kuelewa.
 
Kwahiyo mwanaume akiona tu nyuchi hana maamuzi, basi wanawake ndo tungetakiwa kua wahanga make nyuchi za kiume zinazagaa barabara wanajojoa popote tunaziona....!!!
 
Evelyn Salt;
Mwanaume akiona tu mapaja+uchi +mgongo wazi ukijumuisha makalio anakuwa zezeta, believe me
 
Last edited by a moderator:
Kweli unaweza nikalia uchi na kunionyesha bambuchi yako tayari ukanivutia kweli? Basi kama hivyo ndivyo ilivyo endeleeni kutembea uchi. Yaani ukae uchi bila chupi tayari mwanaume avutiwe na wewe? hahaha labda mie nimetoka shamba juzi.
 
Duh yaani huo ndio utetezi siku akienda hospital akakumbana na wamama wamejianika atawavamia kwasababu wako uchi !.
 
Mwanaume akiona tu mapaja+uchi +mgongo wazi ukijumuisha makalio anakuwa zezeta, believe me

ndo maana nasemaga "wanaume kama fisi tu hata mzoga unatafuna" yani ilimradi tu umeona uchi basi kadushe hakoo nyuzi 90° kazi kweli kweli
 
Wote wadhaifu mkaa uchi namwona uchi wote kapi moja,huyo binti alikuwa ajavaa chupi? alafu unaachaje mumeo akafue aisee huyo mkaa uchi atamwiba kwa sababu atakaa uchi na mbunye atapata na kufuliwa atafuliwa play your part well.
 
Tamalisa

Sijui nianzie wapi kukujibu
Kumuonesha mwanaume viungo asivyotakiwa kuona ni sawa na kumbaka! Utatizama pembeni na kwenda zako lakini ile image uliyobeba kama ulichoona ndo ugonjwa wako, it will torment you for a very long time. Utagusa ya mkeo lakini its not what you saw sasa.

NI kama simba akishakula nyama ya mtu, yani hapo itahitaji maombi. Sasa ukute mtu mwenyewe ndo unamuona kila siku na ushajua anakutega? Kwa kweli hayo ni majanga.Mi nilishasemaga, kuchepuka kwengine tusamehewe tu kwa kweli
.
 
Last edited by a moderator:
miss chagga

Mke alikua job na mumue amesharudi, akaamua mwenyew kufua tu ukizingatia nguo zilkua tshirt 2 tu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa Ulitaka Wafanyeje Wakati Hata Rais Wako Wa Awamu Ya Pili Alishawahi Kukaririwa Akiwashutumu Wanawake Kuwa Masikini Wakati Mitaji Wanayo Na Wameikalia? Hivi Unadhani Mzee Wa Kupigwa Vibao Alikosea au Alikurupuka? Wanaitii Ile Kauli Ya Mzee Rukhsa Hivyo Waache Tu Watutege TUWABANDUE!
 
Evelyn Salt
Taarifa mheshimiwa evelyn salt, Kiasilia kila sehemu ya Mwili wa mwanamke humvutia Mwanaume Rijali yeyote yule,
Kuanzia nywele, Tabasamu, macho, mdomo, kifua, mgongo(45.5), booty, hips, mguu(bia), rangi(white,fanta,chocolate,pasheni),mguu, vidole hadi kucha za miguuni.

In short Mwanamke ni UA linalomvutia kila mwanaume, lakini inapokuja kwenye Maamuzi wanaume tunatofautiana, siyo kwamba hatuwezi kufanya la hasha, hatuoni tija ya kutembea na kila mtu, hatuoni faida ya kufanya vile, ndiyo tofauti zetu. Mwingine anachukulia kutembea na kila mtu ni ufahari, mwingine anajua ni ushamba, mwingine maadili yake hayamruhusu. Lakini kwa 100% mwili wa mwanamke wote ni kivutio kwa mwanaume///

Taarifa iko hivi: Tunaanzia hapa 45,60,90 kwenda juu(kuanzia umri wa mwaka moja mpaka 45/50) baada ya hapo kwenda chini:45,60 na 90(kwisha habari umelala)

Maneno yangu siyo sheria mpaka yafuatwe
 
Last edited by a moderator:
Ila jamani to be honest nyie viumbe ni hatari tupu, yani hata ukiona rangi ya paja tu hoi, mbona cc hatuko hivyo? mara ngapi tunayaona mkikojoa lakini hata hatustuki, mnavaa bukta na kutembea vifua wazi lakini wala, mkivaa taulo mnaenda kuoga vitu vinachoreka hadi unaijua saizi yake lakini wala?

Nyie viumbe ni shida tu, mabinti wachache sana walio kama nyinyi.
 
Back
Top Bottom